Fursa ya kupeleka mchele nchini Rwanda

Morocco?
Kaskazini magharibi mwa Afrika utafikaje huko na mchele au mahindi?
Aaah ngoja tumsubiri dada Manengelo aje atupe mbili tatu jamani na sisi tuone kama inaweza kutubeba hii pls dada Manengelo rudi utupe infor
 
Jamani mwenye kuielewa vizuri hii biashsara basi aje apa atupe A na B za hii biashara watz mnapenda kusema watz ni wavivu wakati wewe unayewasema watz wavivu wewe unazo infor ila kuwapa watz ili nao washughulike hutaki unabaki kuwasema wat Eti ni wavivu hii haijakaa poa toa aidea na njia zote za kupita ili mtu ajipime kama anaweza au la alafu baada ya hapo watu wapambane kurise fund na waweze kuanzisha biashar!!
 
Yaani mtu akupe infor ukamharibie soko lake, ingia mwenyewe field.
 
Aaah ngoja tumsubiri dada Manengelo aje atupe mbili tatu jamani na sisi tuone kama inaweza kutubeba hii pls dada Manengelo rudi utupe infor


Mie nimepanga dec niende tu Rwanda..ndo ntaenda nao hawa wakaka..sitak ya kuambiwa...!
 
Yaani mtu akupe infor ukamharibie soko lake, ingia mwenyewe field.


yes.Hata huu uzi nimegundua 80%hawatak kufind infos...then tye rest wajuaji...wanajua kila kitu..hap ndo Kenya wametupiga bao!
 



Zamani kidg nilikua kama ww..nilikua nataka nipitishwe chocho zotee nitafuniwe...nikaja shtuka ndo maana tunapiga marktym miaka yt..mkuu...ukitaka kusimama kibiashara kubali kutumia hela..yaan kubali hela ikutoke!huo ni ukwel halisia...ukisubiri kuletewa habari zote mezani kwako my dear utaumia..au utaweza pigwa
 
Hasa CCM ikitoka ndiyo Rwanda itageuka na kuwa nchi kubwa kama DRC soko la mchele litakuwa na utacheza sana na mamilioni ningependa kuelewa zaidi@ Manengelo.
 
Hahaha Kwa hizi za vyakula hakuna biashara mpya humu duniani, hayo ni maisha ya kila siku.
Sema wapo tusliokuwa hatufahamu kwamba Rwanda na wao wanakula wali.
 
Acha uchoyo wa mawazo we mama,nia yangu ilikuwa kujifunza niondoke na madini hapa afuuu unaleta blahblah kafie mbele basi.


Au sijakuelewa..ww umesema ina maana ccm.ikitoka.madarakan ndo Rwanda itageuka kuwa nchi kubwa?nikakuambia ww chukua points siasa achana nazo...sifi kwa taarifa yako...kufa ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…