chongoe
JF-Expert Member
- Mar 22, 2019
- 1,128
- 2,717
Mimi sina fursa ya pesa ila fursa ya kuelekezana jinsi ya kupata pesa kwa njia ya uvuvi ukiwa wewe kijana una nguvu njoo Mafia kama unaweza kuvua huku utavua au utavusha maisha yataenda.
Ukiwa mgeni utapokewa tu hata na mimi ila uwe mtu wa amani na kitambulisho kitachokuonyesha wewe ni nani, njooni waungwana huku fursa kiba ila tutasaidia kutafuta matumizi juu yako.
Ukiwa mgeni utapokewa tu hata na mimi ila uwe mtu wa amani na kitambulisho kitachokuonyesha wewe ni nani, njooni waungwana huku fursa kiba ila tutasaidia kutafuta matumizi juu yako.