Fursa ya kulekezana jinsi ya kupata pesa, njoo Mafia kama unaweza kuvua

chongoe

JF-Expert Member
Mar 22, 2019
1,119
2,709
Mimi sina fursa ya pesa ila fursa ya kuelekezana jinsi ya kupata pesa kwa njia ya uvuvi ukiwa wewe kijana una nguvu njoo Mafia kama unaweza kuvua huku utavua au utavusha maisha yataenda.

Ukiwa mgeni utapokewa tu hata na mimi ila uwe mtu wa amani na kitambulisho kitachokuonyesha wewe ni nani, njooni waungwana huku fursa kiba ila tutasaidia kutafuta matumizi juu yako.
 
Tupo 2 3 za kufika huko nauli kutoka mji wa Dar. Kiasi cha kufika nacho. Gharamaa za malazi na hifadhi. Hotel, lodge au guest. Dadavua.
 
Chongoe haujawahi kuwa serious na nyuzi unazoanzisha. Umeulizwa maswali mengi na wadau hapo juu hujawajibu.
 
Mimi sina fursa ya pesa ila fursa ya kuelekezana jinsi ya kupata pesa kwa njia ya uvuvi ukiwa wewe kijana una nguvu njoo Mafia kama unaweza kuvua huku utavua au utavusha maisha yataenda.

Ukiwa mgeni utapokewa tu hata na mimi ila uwe mtu wa amani na kitambulisho kitachokuonyesha wewe ni nani, njooni waungwana huku fursa kiba ila tutasaidia kutafuta matumizi juu yako.
Davis guess hii watu wachangamkie..
 
Mkuu upo serious au unataka uchangamshe jukwaa? Maana kuna maswala tuliongea baada ya kusoma maelezo uliyotoa kwenye uzi wako kipindi cha nyuma lakini mpaka leo hujanipa mrejesho..
 
Back
Top Bottom