mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,585
- 11,269
Njoo PMMkuu toa namba
Yaani uko serious tuache hizi bata za kitambaa cheupe
Yaani uko serious tuache hizi bata za kitambaa cheupe
Si rahisi kupata hekari 20 Kwa Ardhi ya Kyela ama Rungwe. utapata tatu Hadi tano lakini zenye thamani kubwa mno kwako na vizazi vyakoMimi nataka heka 20 tu.
Kweli inabidi wanaoanza maisha.ekar tano ya mahari hakuna barabara vizazi vyangu si vitacheka.Kula BATA sie tunahitaji watu wanao taka kufuga Bar...
Mkuu naona simu yangu najaribu kufungua pm inagoma namba nikupe namba au wewe unipe mawasiliano please [emoji120]Wakuu salamu,
Ninakifahamu kijiji kipo mbeya. Eneo linajoto maana ni karibu na kyela.
Ardhi nzuri Kwa kila zao unalo lijua kama ufuta, Karanga, mpunga , mahindi, ndizi na kila zao unalo lijua.
Changamoto:
Kijiji kinabarabara mbovu ajabu! Kiasi kwamba kimeachwa kama kisiwa na kina changamoto ya madaraja.
Uzuri:
Ardhi nzuri Sana inafaa Kwa kilimo na mifugo.
Ushuhuda:
Nimepata heka 5 Kwa sh. Laki tatu tuu mwishoni mwa mwaka Jana. Nimepanda mahindi, ndizi na kokoa.
Sababu ya kuandika hapa:
Mimi Kwa Asili ni mwanajamii Kwa miaka kenda rudi.
Nimetamani kuipata vijana wachache wasio zidi wanne ambao watapenda kuhamia katika hiki kijiji na kuendesha shughuli za kilimo na ufugaji
Sifa: Nashauri wawe vijana na wasiwe Wale mabepari.
Awe anaanzia maisha na anauwezo wa kuishi kabisa kijijini sio kutuma wafanyakazi. Wanakijiji wanahitaji Mtu wa kuishi nae na sio kuwekeza tuu na kuwaachia mashamba.
Ardhi nzuri mno wanaitoa Kwa gharama nafuu ili wapate watu wa kuishi nae.
N.B. Sitapokea fedha ya Mtu Ila Kwa atakae hitaji nitamuongoza mpaka Kwa wanakijiji ambapo atakabidhi fedha na kukabiziwa mji. Kwa Sasa eneo lolote la ukubwa wowote unao upenda linatolewa Kwa shilingi laki tatu Tu.
Karibuni tulime kijijini kwetu kuzuri.
Karibuni tuchimbe dhahabu ingawa ni vumbi vumbi.
Karibuni tuchome mkaa.
Kwa zaidi PM tafadhari
Nisaidie tuwasiliane mkuu tafadhaliMkuu naona simu yangu najaribu kufungua pm inagoma namba nikupe namba au wewe unipe mawasiliano please [emoji120]
0754203020Nisaidie tuwasiliane mkuu tafadhali
300 Kwa eneo la ukubwa wowote utakao hitajiGharama zinakuwa vp huko mkuu
Kwa kyela ama Rungwe kumiliki heka tano si Jambo dogoKweli inabidi wanaoanza maisha.ekar tano ya mahari hakuna barabara vizazi vyangu si vitacheka.
Kigoma uvinza ekari moja laki shamba pembeni ya mto semi zinapitabusiku na mchana
Nakucheki mkuu kwa namba 07677331610754203020
AminaHii ni habari njema sana kwetu wafugaji na wakulima, ningelishauri hii fursa isipite kimya hivi jamani ardhi ni mali na ardhi ni dhamana ktk maisha yetu. Tuwekeze kwenye ardhi ndugu zangu.
Nikikamilisha mchakato nitaweka update hapa na hata picha za maeneoHii ni habari njema sana kwetu wafugaji na wakulima, ningelishauri hii fursa isipite kimya hivi jamani ardhi ni mali na ardhi ni dhamana ktk maisha yetu. Tuwekeze kwenye ardhi ndugu zangu.
HhaahahhaaWanataka watu wa kuishi nao. (Unakabidhiwa na mke kabisa - utani)