Fursa: Wakati wa kuuza maua UK!

Fursa: Wakati wa kuuza maua UK!

Valencia_UPV

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2016
Posts
7,682
Reaction score
9,522
Wauza maua sasa ni wakati wenu huu ku-export Maua huko Uingereza kufuatia msiba wa Dunia.
NB: Air Tanzania badala ya kupakia waombolezaji wasiolipa nauli, pakia maua tukauze London.
 

Attachments

  • images (27).jpeg
    images (27).jpeg
    8.7 KB · Views: 14
Safiii sana idea nzuri

Kama wao wanavyofaidikaga na machafuko afrika kwa kuuza siraha basi nasisi tufanye vivyo hivyo, tushushe utitili wa maua na mataji huko UK tujenge nchi yetu
 
Badala ya kujaza mapicha kwenyewe profile. Tutumie fursa kupiga pesa
 
Back
Top Bottom