MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,277
- 13,680
- Thread starter
- #21
Unaweza kununua bila kujulikana only delivery lazima uipokee, kwa sababu kuna suala la kiusalama sitaandika how to buy anything na kuletewa...Mkuu hapa bado umeacha gape katika upande wa usala. Huwezi nunua chochote online bila kuwa na PII ( personally identifiable information, is any data that can be used to identify a specific individual ). Lazima person details na physical location ya yako wewe ili mzigo ukifikie.
Toa elimu kama ulivyosema watunia crypto ili taarifa zao binafsi ziwe safe katika hili la ununuzi...
Hapa pia umezungumza mambo ya cyrpto lakini wengi huenda hawana ufahamu nao. Naona uzi wake ungekuwa pia wakutoka elimu katika haya mambo ili watu wapata mwanga katika hili
Also I gave a second option, assembly ndani ya TZ, this can very easy and safe, if anyone has skills of drones can buy modules, and also print drone frames hapa hapa TZ.
I prefer the second option
Crypto currencies wallet nyingi zinataka kukufahama, however zipo kadhaa unaweza kununua na kumiliki Crypto currency bila kujulikana