Fursa mji wa Katoro mkoani Geita

Fursa mji wa Katoro mkoani Geita

HUWEZI KUFAFANISHA KAHAMA NA UPUMBAVU HUO WA KATORO.

Ungekuja kusifia kahama ningekuona una akili

yani katoro hii chafuchafu unakuja kuiandika hapa badala usifie kahama.

KAHAMA NDO KILA KITU KANDA YA ZIWA YOTEEEEEE HIIIII
 
Biashara za Katoro ni za kukomoana,wafanyabiashara wanauza bidhaa kwa bei za karibu na hasara ili kuwakomoa wenzao

Wanaoifaidi katoro ni wanaokwenda kulangua mzigo hapo ila wafanyabiashara wengi wa hapo wako chali

halafu jamaa ana kuja na uzi uchwara as if katoro kuna la maana.

NJOO UWEKEZE KAHAMA
 
Wateja wapo wa kununua sahani ya. Chakula elfu sita?

Njoo kahama mjini hapo

1.Matawi yote ya mabenki yapo kahama mjini
2.Ofisi za migodi zipo (baadhi)
3.Hospital 4 hapo hapo kahama mjini
4. stendi 3 (CTD, stendi ya kahama, na stendi ya mizigo yaUwanja wa taifa)
5. Matajiri wa kahama wote wapo mjini hapo
6.Shule za bei zipo (ada >3miilion PY)
7.Masoko ma3 makubwa
8.Soko la East Africa (mchele mpk South sudan)
9.Nssf,Tarura,Tanroads na n.k wako kahama
10.Makampuni ya ujenzi(kahama kuna mijengo maneenah)
11. Kuna lodge 926 kahama pekee( nimetoa data sensa ya watu na makazi)

nimechoka kuandika aisee

MUANDIKA UZI FUTA HUU UZI UNAJIABISHA TU KATORO KUNA NJAAA KIBAO
 
HUWEZI KUFAFANISHA KAHAMA NA UPUMBAVU HUO WA KATORO.

Ungekuja kusifia kahama ningekuona una akili

yani katoro hii chafuchafu unakuja kuiandika hapa badala usifie kahama.

KAHAMA NDO KILA KITU KANDA YA ZIWA YOTEEEEEE HIIIII
KAHAMA NDIYO KILA KITU

ova
 
Katoro ni pazuri kwa mtumishi wa uuma hasa walimu & wengine wenye mishahara ya kuhesabu kwa vidole
 
KATORO

(Mji) ni mkusanyiko wa kata tano (5) ndo zinaunda mji tunaoita katoro. Kata hizo ni kata ya Katoro, kata ya Buseresere, kata ya Ludete, kata ya Butengolumasa na kata ya Ibondo. Huku mji unaendelea kupanuka mpaka umeungana na kata ya sita ambayo ni kata ya Nyamigota.
Mji wa katoro, umejengwa 100% na makazi ya watu na biashara zao, hakuna ofisi kubwa ya umma isipokuwa Hospital, vituo vya afya na shule za msingi na secondary.
Mji wa katoro unafanya vizuri sana kibiashara, kwasababu mbalimbali zikiwemo, umati mkubwa wa watu, makutano ya barabara za Geita-Chato na Katoro-Ushilombo. Pia, barabara za kwenda ziwa Victoria na Migodi mingi (Midogo midogo) ya dhahabu inayozungua eneo hilo.

ULINZI NA USALAMA.

Mji wa katoro asilimia kubwa kuna ulinzi binafsi (Private security companies) kwajili ya ulinzi wa maduka makubwa na maeneo ya masoko. Hii ilitokea baada ya miaka ya nyuma uvamizi (kwa kutumia bunduki) kuongezeka. Kuhusu usalama wa raia katoro ni sehem salama sana.

BIASHARA ZINAZOFANYA VIZURI KWA SASA.

Kwasasa Katoro, biashara nyingi zinafanya vizuri sana japo inategemea na ukubwa wa mtaji wako. Kwamfano:
1. Wenye mtaji mikubwa. Biashara za Vituo vya mafuta (Shell) zinajengwa kwa kasi sana. Kila leo zinafunguliwa mpya maeno mbalimbali ya barabara ya Chato, Ushilombo, Geita....

2. Masoko binafsi. Katoro watu wanajenga masoko binafsi yenye frem za kupangisha maduka, na chanja za mama mboga. Mfano, soko la kishimba...

3. Shule private/Chekechea zinafunguliwa sana. Japo sikuizi shule binafsi hazilipi sana.

4. Kafaka. Katoro uhitaji wa nafaka ni mkubwa sana. Mwaka mzima nafaka zinaingia kutoka sehem mbalimbali mwa Tanzania, mfano (maharage kutoka kigoma, mahindi kutoka sumbawanga, karanga za Tabora......). Sababu kubwa inaweza kuwa ni idadi kubwa sana ya watu na migodi ya dhahabu around katoro.

5. Maduka ya nguo. Katoro inaongoza almost kanda ya ziwa (ukitoa Mwanza) kwa kuuza nguo. Ukifika Katoro madukani, utakutana na wafanyabiashara wa nguo kutoka bukoba, ngara, karagwe, chato, Geita, biharamulo, etc wamekuja kununua nguo. Hii inaonyesha soko la nguo ni kubwa sana katoro.

6. Store za mpunga. Kati ya biashara zinazolipa katoro ni pamoja na mashine za kukoboa mpunga na store zake.

7. Plant na Elution. Biashara hii inalipa sana. Kwasababu katoro imezungukwa na migodi mingi midogo midogo ya dhahabu, Plant na Elution nyingi zimejengwa maeneo (karibu) na katoro Kwasababu ya usalama zaidi. Kwasasa hii biashara imeajili vijana wengi sana kutoka katoro.

Kwa watu wenye mitaji midogo na ya kati. Kuna biashara ambayo mtu anaweza kufanya na ikamtoa kimaisha.
1. Kufuata samaki ziwa Victoria
2. Kufuata viazi na mihogo sehem za runzewe na kuleta katoro.
3. Nyanya, vitunguu na mboga mboga
4. Bajaji na boda boda
5. Ufundi wa ujenzi
6. Ufundi wa furniture (sofa, kabati,.... )
7. Welding na aluminium
8. ......

(KARIBU SANA MJI WA KATORO UFANYE BIASHARA)

Asante kwa ukaribisho
 
Njoo kahama mjini hapo

1.Matawi yote ya mabenki yapo kahama mjini
2.Ofisi za migodi zipo (baadhi)
3.Hospital 4 hapo hapo kahama mjini
4. stendi 3 (CTD, stendi ya kahama, na stendi ya mizigo yaUwanja wa taifa)
5. Matajiri wa kahama wote wapo mjini hapo
6.Shule za bei zipo (ada >3miilion PY)
7.Masoko ma3 makubwa
8.Soko la East Africa (mchele mpk South sudan)
9.Nssf,Tarura,Tanroads na n.k wako kahama
10.Makampuni ya ujenzi(kahama kuna mijengo maneenah)
11. Kuna lodge 926 kahama pekee( nimetoa data sensa ya watu na makazi)

nimechoka kuandika aisee

MUANDIKA UZI FUTA HUU UZI UNAJIABISHA TU KATORO KUNA NJAAA KIBAO
Mkuu, itakuwa umetumwa wew si bure. Kama unaona kahama inamaana kwako, kwann hukuandika uzi wenye hayo maelezo yako mapema??.
Hizi ndo tunaita akili mgando, anasubiri mpaka mwengine waanzishe uzi, ndo nakuja kupinga kwa useless fact.
Kuna mtu haijui kahama yako hiyo, kwa taarifa yako kahama naijua kuliko wew ulieingia kahama jana na kuanza kubabaishwa na majengo marefu.
Kwanza hujasoma uzi ukaelewa kilichoandikwa ni nin? Unakurupuka na kuandika utumbo wa mbuzi hapa.
HONGERA SANA KWA KUPATA SOKO LA EAST AFRICA (Maaragabeshi)
 
HUWEZI KUFAFANISHA KAHAMA NA UPUMBAVU HUO WA KATORO.

Ungekuja kusifia kahama ningekuona una akili

yani katoro hii chafuchafu unakuja kuiandika hapa badala usifie kahama.

KAHAMA NDO KILA KITU KANDA YA ZIWA YOTEEEEEE HIIIII

Kahama pabaya tuu... Nimefika pale aise nyama haina radha... Nyama ya katoro ipo very tastyyyy san. Pia kuna sato, sangara fresh from water hazijakaa kwa fridge... Kuna dagaa wa nkome, bukoba aise watamu san bila kusahau vibambala bei cheee

Growth Pace inayoenda nayo Katoro ni ya kutisha sana... Not long ago Katoro ilikuwa nothing wakati Geita na Kahama ni wilaya popular tu, ila kufumba na kufumbua katoro inataka kuzizidi evidence ni wewe kui compare katoro na hiyo kahama yako of which Katoro is the best.

Msosi wise: sato wa Katoro na Chato are tastier kuzidi hata wa Mwanza. Ni vile yule jiwe alikua anatumia nguvu mingi kuibeba chattle ila chattle ni ndogo sn kwa katoro. Environmentally katoro ni pazur sn na chato pako fair. Ila kahama jua lake lina rude/ unpleasant ultraviolet number i think
 
Mkuu huwezi kuuza mzigo kwa karibu na hasara ukaendelea kukua kibiashara. Kilichopo hapo ni kwamba wafanyabiashara wengi wanafuata mizigo Dubai, China na Kampala direct. Wanakuja kuuza mzigo bei zao zinapishana kidogo tu na zile za karakoo za Dar es salaam
Mkuu, vipi biashara ya nguo za ndani upatikanaji wake? Je, naweza kupata kwa bei ambayo na mimi naweza kuja kuuza kwa bei ya jumla? Mwanza naona bei mkasi sana!
 
Kahama pabaya tuu... Nimefika pale aise nyama haina radha... Nyama ya katoro ipo very tastyyyy san. Pia kuna sato, sangara fresh from water hazijakaa kwa fridge... Kuna dagaa wa nkome, bukoba aise watamu san bila kusahau vibambala bei cheee

Growth Pace inayoenda nayo Katoro ni ya kutisha sana... Not long ago Katoro ilikuwa nothing wakati Geita na Kahama ni wilaya popular tu, ila kufumba na kufumbua katoro inataka kuzizidi evidence ni wewe kui compare katoro na hiyo kahama yako of which Katoro is the best.

Msosi wise: sato wa Katoro na Chato are tastier kuzidi hata wa Mwanza. Ni vile yule jiwe alikua anatumia nguvu mingi kuibeba chattle ila chattle ni ndogo sn kwa katoro. Environmentally katoro ni pazur sn na chato pako fair. Ila kahama jua lake lina rude/ unpleasant ultraviolet number i think
mmmh baby boy hapa umepuyanga!
 
Njoo kahama mjini hapo

1.Matawi yote ya mabenki yapo kahama mjini
2.Ofisi za migodi zipo (baadhi)
3.Hospital 4 hapo hapo kahama mjini
4. stendi 3 (CTD, stendi ya kahama, na stendi ya mizigo yaUwanja wa taifa)
5. Matajiri wa kahama wote wapo mjini hapo
6.Shule za bei zipo (ada >3miilion PY)
7.Masoko ma3 makubwa
8.Soko la East Africa (mchele mpk South sudan)
9.Nssf,Tarura,Tanroads na n.k wako kahama
10.Makampuni ya ujenzi(kahama kuna mijengo maneenah)
11. Kuna lodge 926 kahama pekee( nimetoa data sensa ya watu na makazi)

nimechoka kuandika aisee

MUANDIKA UZI FUTA HUU UZI UNAJIABISHA TU KATORO KUNA NJAAA KIBAO
Mkuu wewe hapo unaenda nje ya mada. Sisi tunataka kusikia kuhusu Katoro, tupajue tuone na fursa zinazopatikana.
 
KATORO

(Mji) ni mkusanyiko wa kata tano (5) ndo zinaunda mji tunaoita katoro. Kata hizo ni kata ya Katoro, kata ya Buseresere, kata ya Ludete, kata ya Butengolumasa na kata ya Ibondo. Huku mji unaendelea kupanuka mpaka umeungana na kata ya sita ambayo ni kata ya Nyamigota.
Mji wa katoro, umejengwa 100% na makazi ya watu na biashara zao, hakuna ofisi kubwa ya umma isipokuwa Hospital, vituo vya afya na shule za msingi na secondary.
Mji wa katoro unafanya vizuri sana kibiashara, kwasababu mbalimbali zikiwemo, umati mkubwa wa watu, makutano ya barabara za Geita-Chato na Katoro-Ushilombo. Pia, barabara za kwenda ziwa Victoria na Migodi mingi (Midogo midogo) ya dhahabu inayozungua eneo hilo.

ULINZI NA USALAMA.

Mji wa katoro asilimia kubwa kuna ulinzi binafsi (Private security companies) kwajili ya ulinzi wa maduka makubwa na maeneo ya masoko. Hii ilitokea baada ya miaka ya nyuma uvamizi (kwa kutumia bunduki) kuongezeka. Kuhusu usalama wa raia katoro ni sehem salama sana.

BIASHARA ZINAZOFANYA VIZURI KWA SASA.

Kwasasa Katoro, biashara nyingi zinafanya vizuri sana japo inategemea na ukubwa wa mtaji wako. Kwamfano:
1. Wenye mtaji mikubwa. Biashara za Vituo vya mafuta (Shell) zinajengwa kwa kasi sana. Kila leo zinafunguliwa mpya maeno mbalimbali ya barabara ya Chato, Ushilombo, Geita....

2. Masoko binafsi. Katoro watu wanajenga masoko binafsi yenye frem za kupangisha maduka, na chanja za mama mboga. Mfano, soko la kishimba...

3. Shule private/Chekechea zinafunguliwa sana. Japo sikuizi shule binafsi hazilipi sana.

4. Kafaka. Katoro uhitaji wa nafaka ni mkubwa sana. Mwaka mzima nafaka zinaingia kutoka sehem mbalimbali mwa Tanzania, mfano (maharage kutoka kigoma, mahindi kutoka sumbawanga, karanga za Tabora......). Sababu kubwa inaweza kuwa ni idadi kubwa sana ya watu na migodi ya dhahabu around katoro.

5. Maduka ya nguo. Katoro inaongoza almost kanda ya ziwa (ukitoa Mwanza) kwa kuuza nguo. Ukifika Katoro madukani, utakutana na wafanyabiashara wa nguo kutoka bukoba, ngara, karagwe, chato, Geita, biharamulo, etc wamekuja kununua nguo. Hii inaonyesha soko la nguo ni kubwa sana katoro.

6. Store za mpunga. Kati ya biashara zinazolipa katoro ni pamoja na mashine za kukoboa mpunga na store zake.

7. Plant na Elution. Biashara hii inalipa sana. Kwasababu katoro imezungukwa na migodi mingi midogo midogo ya dhahabu, Plant na Elution nyingi zimejengwa maeneo (karibu) na katoro Kwasababu ya usalama zaidi. Kwasasa hii biashara imeajili vijana wengi sana kutoka katoro.

Kwa watu wenye mitaji midogo na ya kati. Kuna biashara ambayo mtu anaweza kufanya na ikamtoa kimaisha.
1. Kufuata samaki ziwa Victoria
2. Kufuata viazi na mihogo sehem za runzewe na kuleta katoro.
3. Nyanya, vitunguu na mboga mboga
4. Bajaji na boda boda
5. Ufundi wa ujenzi
6. Ufundi wa furniture (sofa, kabati,.... )
7. Welding na aluminium
8. ......

(KARIBU SANA MJI WA KATORO UFANYE BIASHARA)
Bank zipo
 
Mkuu, itakuwa umetumwa wew si bure. Kama unaona kahama inamaana kwako, kwann hukuandika uzi wenye hayo maelezo yako mapema??.
Hizi ndo tunaita akili mgando, anasubiri mpaka mwengine waanzishe uzi, ndo nakuja kupinga kwa useless fact.
Kuna mtu haijui kahama yako hiyo, kwa taarifa yako kahama naijua kuliko wew ulieingia kahama jana na kuanza kubabaishwa na majengo marefu.
Kwanza hujasoma uzi ukaelewa kilichoandikwa ni nin? Unakurupuka na kuandika utumbo wa mbuzi hapa.
HONGERA SANA KWA KUPATA SOKO LA EAST AFRICA (Maaragabeshi)

mzee mimi ni taita toka day 1 hapa kahama.

Katoro nimefika kote huko.

KATORO KUNA NJAA, KAHAMA NDO KILA KITU MZEE.

Hilo soko unalolidharau ndo linawalisha hapo katoro.

Kwahyo ukianzisja uzi unataka tukubaliane hata kama jmeandika kamba tupu

Grow up
 
Kahama pabaya tuu... Nimefika pale aise nyama haina radha... Nyama ya katoro ipo very tastyyyy san. Pia kuna sato, sangara fresh from water hazijakaa kwa fridge... Kuna dagaa wa nkome, bukoba aise watamu san bila kusahau vibambala bei cheee

Growth Pace inayoenda nayo Katoro ni ya kutisha sana... Not long ago Katoro ilikuwa nothing wakati Geita na Kahama ni wilaya popular tu, ila kufumba na kufumbua katoro inataka kuzizidi evidence ni wewe kui compare katoro na hiyo kahama yako of which Katoro is the best.

Msosi wise: sato wa Katoro na Chato are tastier kuzidi hata wa Mwanza. Ni vile yule jiwe alikua anatumia nguvu mingi kuibeba chattle ila chattle ni ndogo sn kwa katoro. Environmentally katoro ni pazur sn na chato pako fair. Ila kahama jua lake lina rude/ unpleasant ultraviolet number i think

hakuna hoja uliyoleta hapa zaidi ya uroho wako wa kulakula huko katoro.

Msosi mzuri hata sumbawanga mjini upo.

KAHAMA NDO KILA KITU MAZEE
 
Back
Top Bottom