Katoro Kuna nyomi ya pipo sijaona!!! Sijui km kuna mji mdogo nchi hii wenye idadi kubwa ya watu km pale Katoro
Vipi Katoro pameifunika hadi Tunduma?, nimepita maeneo yote mawili kitambo kidogo.
Katoro Kuna nyomi ya pipo sijaona!!! Sijui km kuna mji mdogo nchi hii wenye idadi kubwa ya watu km pale Katoro
Miji yote Tanzania iliyojengwa baada ya uhuru haina mpangilio. Yote ni hovyo tu hakuna sawage hakuna open space wala garden. Ni vurugu tupu. Mkoloni alikuwa na akili mara milioni ya ccmHimizeni mji huo upangiliwe vizuri uwe mji mzuri na mkubwa.
Katoro na Tunduma comparison zake ziko hivi...Vipi Katoro pameifunika hadi Tunduma?, nimepita maeneo yote mawili kitambo kidogo.
Tujulishe Kahama imeizidi vipi katoro bila kutumia matusi. Yeye mtoa mada kawa muungwana kutuonyesha fursa mbalimbali zinazopatikana kwao,Anatukaribisha.HUWEZI KUFAFANISHA KAHAMA NA UPUMBAVU HUO WA KATORO.
Ungekuja kusifia kahama ningekuona una akili
yani katoro hii chafuchafu unakuja kuiandika hapa badala usifie kahama.
KAHAMA NDO KILA KITU KANDA YA ZIWA YOTEEEEEE HIIIII
Wewe mkuu una matusi sana.hakuna hoja uliyoleta hapa zaidi ya uroho wako wa kulakula huko katoro.
Msosi mzuri hata sumbawanga mjini upo.
KAHAMA NDO KILA KITU MAZEE
How?😊mmmh baby boy hapa umepuyanga!
[emoji120][emoji120][emoji120]
Kuna matawi ya Bank zote kubwa. CRDB, NMB, AZANIA, .....
Liyan hupajui katoro wew, kama hujui Matawi la Bank zote yapo katoro, unajua katoro ipi??.
Nmeku-tag kabla hajakutagi muuliza swali...
Tujulishe Kahama imeizidi vipi katoro bila kutumia matusi. Yeye mtoa mada kawa muungwana kutuonyesha fursa mbalimbali zinazopatikana kwao,Anatukaribisha.
Wewe unaweza kufanya hivyohivyo kuhusu Kahama bila matusi.
Wewe mkuu una matusi sana.
Geita na kahama were long established... Zilikuwa wilaya kitambo tu katoro pakiwa pote ni kichaka na nyumba za nyasi tupu...
Geita imeipita status Kahama imekuwa mkoa Fact one. Geita to Katoro ni 40km. They share many character one being good climatic condition,trade and wealth... I breathe so well in there(Katoro+Geita+Mwanza)...
Optionwise would love to reside in 1.Mwanza 2.Katoro 3.Geita rather than Dar or Arusha (currently based in Dar circumstantially aise! but ever been all over the places for fairly many years to each(Katoro,geita,kahama,mwanza, arusha,dar so i speak on experience))
From scratch Katoro imekuwa mpaka hapo unathubutu kuicompare na Kahama you should be ashamed... Watu wame argue ukubwa wa katoro comparatively na kahama or elsewhere e.g Tunduma(sijafika) so kama bado Katoro haijaifunika basi itaifunika Kahama vere soon
Katoro=Geita same thing.kahama na katoro nani amekusanya mapato mengi ?
Hapo utapata jibu wapi pakubwa
katoro hamna kitu, kahama yenyew ilikuwa pori toka zamani ila sasa inachanua na miaka ijayo tutajitenga na shinyanga
Huna hoja!kahama na katoro nani amekusanya mapato mengi ?
Hapo utapata jibu wapi pakubwa
katoro hamna kitu, kahama yenyew ilikuwa pori toka zamani ila sasa inachanua na miaka ijayo tutajitenga na shinyanga
nyomi ni kubwa sana pia na mzunguuko wa biashara upo sana,nisehem nzuri sana yakujitafuta...mi nipo hapa huu mwaka wa nne,biashara yoyote hapa unapga ila ukitaka kufanikisha kwenye biashara yoyote hapa katoro usitake faida kubwa ndo maana hapa panasifika sana kwa vitu kuwa na bei ya chini,ila uzuri mzunguuko upo mkubwa sana....kwa yoyote anae taka kufanya biashara ya nguo za special anicheki nimuuzie site ipo kariakoo ipo mtaa mzur sanaKatoro Kuna nyomi ya pipo sijaona!!! Sijui km kuna mji mdogo nchi hii wenye idadi kubwa ya watu km pale Katoro