Kamwene kamwene
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 1,159
- 2,611
- Thread starter
- #21
hahah mimi nawashauri waendelee kulima tu, wasichome nauli zao kuwafata hao wanasiasa ambao wenyewe wakitumbuliwa huwa hawana access ya kupata ajira.
Hiyo sio sababu ya kutokwenda mkuu
Ona baba mkulima wa jembe la mkono asiyejua kuskma wala kuandika anasomesha mwanae hadi anakuja kuwa daktari