Wooooiiiiiii wooooiiiiMpiraaa inatanuka na kusinyaaaaa
usifukue kabisa asee...Hahhahaha sitak kufukua makaburi


Pole sana dogo ila acha kukariri kua jf member wote wanaishi bongo au wamepigika kama wewe,hivi unajua bei za nyumba China? Au una amini tu kila unacholetewa kwa kutokujua?Acha chuki! Ni dola 2000+ kwa moja! Usibishe najua JF wengi mna frastiuations.mpo JF kutafuta wapi kwa kuzimaliza so f***
Sasa ikiwa sitimbi ya China, inakua ni Zimbabwe au China?Bei ya iPHONE 7 20 pc's unanunua nyumba China!
Labda iwe ni kibanda,tena kibanda chenyewe kiwe huko Sitimbi ya China.
Tatizo uombaji wenu wa hela ni mbovu sana, hujui mwanaume ana stress gani we unakurupuka na kuomba laki tanoHawa wanaume wetu ukimuomba laki 5 tu na block anakupa ndo uende ukamuombe Iphone 7 si atahama na nyumba![]()
Tufundishe basi jinsi ya kuomba ili tupate.Ha ha ha ha ha haaah!
Tatizo uombaji wenu wa hela ni mbovu sana, hujui mwanaume ana stress gani we unakurupuka na kuomba laki tano
Laki tano zote? mi hata elfu10 huwa nawablock.Hawa wanaume wetu ukimuomba laki 5 tu na block anakupa ndo uende ukamuombe Iphone 7 si atahama na nyumba![]()
Tena hapo anakuwa ameshakulamba zaidi ya mara kumi.Hahahahahaha nakwambia unaishia kununuliwa tecno ya 25 tuuuu wanaume wa bongo wana dhambi sanaaa
Basi we umezidiLaki tano zote? mi hata elfu10 huwa nawablock.
Unanilipavkiasi gani kukufundishaTufundishe basi jinsi ya kuomba ili tupate.
Na sio stress tu,hajengi hata mazingira ya kupata hy laki 5,anaomba hela kwa kukurupukaHa ha ha ha ha haaah!
Tatizo uombaji wenu wa hela ni mbovu sana, hujui mwanaume ana stress gani we unakurupuka na kuomba laki tano
Kuna namna ya kumchukulia MTU hela,na unaipata kirahisi tuTufundishe basi jinsi ya kuomba ili tupate.