Furahiiday night live

Furahiiday night live

iv bado kipo hewani...niwashe TV yangu ya hurisi na mm ni one umbo #8 .
 
Hili lenye malepe ya wazi limesema lenyewe linajali shaba tu,khahaaa... Dunia iko likizo!

huyo ndo alionifanya niandike huu uzi...last wiki alivaa bukta
wiki ihayo nahisi atavaa pichu
 
Halafu samu na huyu gigy money watakua kama vile wanafaragha,maana ya wiki iliyopita huyu demu alikua anaropoka places wanazo ruka kwanja na samu,so there z more behind the scene hawa watu,ndo maana kweny show ya fnl humkosi huyu muuza mwili
 
ki ukweli inahitaji akili ya ziada kumuelewa huyu sam na huyo gigy
 
Eti anakunywa HENNESSY anajiona mjanja, hard and very strong liqour..

Kazi kweli.
 
bora msami kaja kusawazisha kidogo nimearijika
 
Eti anakunywa HENNESSY anajiona mjanja, hard and very strong liqour..

Kazi kweli.

unaua nilimsikia nikahisi ni heineken
daah hiyo si ile ina rangi kama dawa ya kifua ile ya mkojo wa punda
na pia sili whsky hilo ndo maana mtu akifikisha miaka 30 utasema ana 50
kazeeeka kwa sababu ya ma pombe makali yasio na fomula
 
Eti unamuuliza unafanya kazi gani wakati yupo kazini!!! Waseme wanaulizwaga sh. Ngapi? Sio porojo nyingiii....

na sijui amewakusanya wapi hahah wengi sana hahab studio imejaa
 
unaua nilimsikia nikahisi ni heineken
daah hiyo si ile ina rangi kama dawa ya kifua ile ya mkojo wa punda
na pia sili whsky hilo ndo maana mtu akifikisha miaka 30 utasema ana 50
kazeeeka kwa sababu ya ma pombe makali yasio na fomula

Nimemshangaa sana, ushamba mzigo.
 
Back
Top Bottom