Furahiiday night live

Furahiiday night live

Nilikuwa na maza angu na mkwe sometime back, Kuna channels sikupenda ziwe zinaangaliwa coz unaweza kuaibika mbele ya mama mkwe asee!

unajua vipindi vya live hamna ku edit
hapo likichoomm...
ni ndukiiiii
 
Giggy money...ilaaa mtoto mashallla..
 

Attachments

  • 1434139862553.jpg
    1434139862553.jpg
    49.9 KB · Views: 264
weka picha.... Naona unayasifia kweli yamekuacha hoi nini? 🙂🙂

hebu icheki hapa japo si kwa quality unayoitaka wewe
 

Attachments

  • IMG_20150612_230346.jpg
    IMG_20150612_230346.jpg
    347.9 KB · Views: 225
hiki kipindi mpaka niliisha kisahau... hivi ndio kile cha sam misago
 
Back
Top Bottom