masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,800
- 16,823
- Thread starter
- #61
Hahaha masai dada bhana.. ngojah nikaa comment sim number yangu kwenye wall yake...
ajatulizwa akitulizwa atatulia
Last edited by a moderator:
Hahaha masai dada bhana.. ngojah nikaa comment sim number yangu kwenye wall yake...
Mbaghala+mbagara=mbagala
ni chumba kimoja huku kilungule
kilungule mutoto muzuri kilungule aarghh....!!??
Karibu kwangu.
sio mbaghara?
niko kwenye shamba la familia
kuna kuku hapa na ngombe ndo nawahudumia
aisee ...kina totozzz.. Wakali sana japo wameharibiwa na kemukali za china!hiki kipindi sasa cha makahaba...
Tcra
My LORD...!! HOW DOES THIS HAPPEN??
Kama wako sokoni vile....
kipindi ni club live on tv so sielwi masai d" !
Hiki kipindi sasa cha makahaba...
TCRA
sio kama wako
TAYARI HAPO NI SOKONI
LSASA MTU ANAJINYAMBULISHA WAPI PANAVUTIA????
Giggy money...ilaaa mtoto mashallla..
naona sam kajibu kasema wanavaa vile ili waendane na program
haya ngoja ninywe maji,maana
tuendelee kuangalia show
Mbona wanajichanganya... C waseme tu wanavyoambiwaga,maana naona wote wanadanganya tu.