Furahiiday night live

Furahiiday night live

Ka kibaya unaangalia cha nn?

sijasema kibaya
nimesema ni aibu

i love music na mambo yahusuyo mziki na wana muziki so hichi kipindi ndio napata kujua hayo
lakini siku hizi ni hatari sana
last week walivaa pensi na matumbo wazi kama mabondia
 
masai dada

hakika hawa vijana wa siku hizi duh uzee utanishinda !
--!!!!!
 
Last edited by a moderator:
naona sam kajibu kasema wanavaa vile ili waendane na program
haya ngoja ninywe maji,maana
tuendelee kuangalia show
 
sam kama kaon huu uzi naona anajistukia
Cc Daata

sasa ndo ziwa alitoe nje???
 
Last edited by a moderator:
Daaah sam kwa kutetea ma babee wakeeee hajambooo eti vazii linaendana na programme..
 
tengua kauli



hapana naona aibu mimi na hapa natazama mwenyewe yaani imagne mkiwa wawili si aibu


Nilikuwa na maza angu na mkwe sometime back, Kuna channels sikupenda ziwe zinaangaliwa coz unaweza kuaibika mbele ya mama mkwe asee!
 
Back
Top Bottom