Furahia simu yako hapa

Furahia simu yako hapa

Nashukuru Mkuu

Lkn nazo zinahitaji rooting. Naogopa rooting maana ina matatizo yake
 
solo launcher sio nzuri saaaana
Kila mtu anamtazamo wake mkuu

Ndio maana naipenda JF!
Asante Mkuu.
Ubarikiwe tena na tenaa:thumbup::thumbup::thumbup::thumbup::thumbup:
Karivu mkuu hapa si kama kariakoo kuinstalliwa whats app unalipishwa 10000

Nimejaribu kuroot kwa z4root, RootX,OneClickRoot na nyingine imegoma. Mwisho imeniletea huu ujumbe

Inaonekana smart kika ni kuntu sana em jaribu iyo aliokwambia mkuu
 

Attachments

  • 1429364466614.jpg
    1429364466614.jpg
    23.4 KB · Views: 244
Kila nikizima cm...,nikija kuiwasha nakuto fonts niliyo idownload na kuiweka imetoka paka niiseti tena....tatizo nn hapo
 
Duuh yani inanikera hii kitu balaaa paka nimezila kuiweka tena
 
Oooh mi natumia HTC ila ya nikiistall programs chache tu inalete "phone running low space" wakat kuna nafasi ya kutosha cjajua tatizo ni mini msaada wakuu

na mimi tatizo hilo hilo mkuu
 
Kila nikizima cm...,nikija kuiwasha nakuto fonts niliyo idownload na kuiweka imetoka paka niiseti tena....tatizo nn hapo

Duuh yani inanikera hii kitu balaaa paka nimezila kuiweka tena

Jaribu kuangalia kama simu inakuuliza kukeep solo launcher in memory. Mfano yangu ilikua ina uliza kama nahitaji SOLO LAUNCHER au LAUNCHER 3. ambayo ni ya simu.

Kuna option mbili italeta JUST ONCE na ALWAYS kama inauliza hivyo select ALWAYS
 
Hapo me najua huwa naweka solo always labda niamue ku change tena me mwenyewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom