Furahia simu yako hapa

Furahia simu yako hapa

vzur mkuu...ila baba wa utam ni custom ROM mkuu pia unaeza jaribu.

Enhe kuna kipindi nlikua na s3 nkawa natumia slimkat :thumbup: aseeutamu wake unaviwango vya TBS kabisa sema iliondoa touch wiz na pia kupoteza multitask :thumbdown:
 
mi inanigomea inaniandikia hivyo,simu yangu huwawei 530
 
Attachments

  • 1429075805823.jpg
    1429075805823.jpg
    19.2 KB · Views: 518
Enhe kuna kipindi nlikua na s3 nkawa natumia slimkat :thumbup: aseeutamu wake unaviwango vya TBS kabisa sema iliondoa touch wiz na pia kupoteza multitask :thumbdown:

mkuu sasa hiv kuna cm 12 ya lolpop kwanza hyo sound inayotoka humo ndani balaaa.
 
Ndio huawei y530 haisapot live wallpaper pole mkuu na nadhan pia unapata usumbufu hasa unapocheza magem mengi yanacrash

Sasa mkuu sisi tunaotumia 530 Tuna option gani maana tunakosa mautamu kama haya.
 
Mkuu, nimeinstall ifont lkn ili kutumia fonts inasema ni root kwanza na kwa zingine inanitaka nilipie. Nifanyeje?
 
Mkuu, nimeinstall ifont lkn ili kutumia fonts inasema ni root kwanza na kwa zingine inanitaka nilipie. Nifanyeje?

Okay ziko font ambazo hutumika na unrooted devices na pia zipo device zinaingia ifont bila root. Kama umeweza kudownload solo launcher iyo tayari inakuja na font package ya font kama nne ivi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom