Je, umeichoka simu yako?

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Apr 28, 2020
445
754
Unajua ukiwa na kitu muda mrefu Kuna wakati unajikuta umechoka kukitumia. ikiwa unamiliki simu yako ya Android au iphone kwa muda mrefu unaichoka kutumia.

Sio lazima kununua simu mpya !! Fanya mambo yafuatayo kuifanya simu kuwa mpya tena?

๐—•๐—ฎ๐—ฑ๐—ถ๐—น๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐—ธ๐—ฎ๐˜ƒ๐—ฎ ๐—น๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚
Mara nyingi ukitaka kujua simu ni ya kitambo ni muonekano wake (physical body). Mwanzoni ukinunua simu utunzaji unakua mkubwa kuliko kadri siku zinavyoendelea mbele. Ikiwa simu yako Ina madoa ,mikwaruzo ya simu yako kuwa na tabia ya kubadilisha kava la simu.

Badilisha skrini protector glass
Najua tunaweka skrini protector kulinda simu zetu zisiweze kuhalibika. Najua tumeangusha sana simu zetu mpaka ukikitazama kioo ni balaa una haja kununua simu mpya badilisha kioo chako.

๐—•๐—ฎ๐—ฑ๐—ถ๐—น๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐—นlpaper
Muonekano wa ndani pia unaweza kuipeleka simu yako kuwa na mvuto tena, ukifungua simu zetu mara nyingi utaona wallpaper kwenye home skrini pia kwenye lock skrini. Acha kutumia wallpaper Moja kwa muda mrefu kuwa na tabia ya kubadilisha utafanya simu kuwa mpya.

๐—ง๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ ๐—บ๐—ฝ๐˜†๐—ฎ ๐˜‡๐—ฎ ๐—น๐—ฎ๐˜‚๐—ป๐—ฐ๐—ต๐—ฒ๐—ฟ
Hii njia nzuri sana kwa watu, launcher ni mfumo unaomsaidia mtu kubadilisha muonekano wa simu yake kupitia apps na kuipangilia vizuri kuwa na muonekano mzuri.

Ziko launcher nyingi huwe na tabia ya kubadilisha tumia Microsoft launchers, Nova launcher, Google go launcher, iPhone Launcher nk.

๐—ข๐—ป๐—ฑ๐—ผ๐—ฎ ๐˜‚๐—ป๐—ป๐—ฒ๐—ฐ๐—ฒ๐˜€๐˜€๐—ฎ๐—ฟ๐˜† ๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ๐˜€
Kuna wakati unajikuta una app nyingi kwenye simu zako sio zote najua unatumia , sasa kuwa na tabia ya kuondoa app ambazo utumi kwenye simu yako , pia hata ku disabled kama hazitaki kufutika.

๐—ข๐—ป๐—ด๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ๐—ณ๐—ฎ๐˜€๐—ถ ๐˜‡๐—ฎ๐—ถ๐—ฑ๐—ถ
Je simu yako imeshuka uwezo, inafanya kazi polepole ? Umeshawahi kukutana na app crashing , app responding pia hata touch skrini kwenye kioo chako kinasumbua. Kuna wakati usababishwa na nafasi kwenye simu zetu kuwa ndogo ondoa picha , videos, apps, file ambazo hutumi kwenye kifaa chako.

Tuambie ukichoka simu unafanyaje hiwe na muonekano mzuri zaidi?
 
ukianza kuwa na majukumu hayo mambo sijui ya wallpaper siju nini huwezi kuwa na mda nayo.
 
Mimi siwezi kuichoka simu yangu OPPO A3S ni simu ambayo tangia nimeinunua mwaka 2018 sijawahi kurestore na haijawahi niletea tatizo lolote lile, kwangu ni simu bomba sana, kama nimewahi miliki Samsung J5 prime lakini niliichoka ndani ya mwaka mmoja, ila kwa hii OPPO ni tofauti kabisa.
 
Simu pixel 4xl siichoki


Inakaa na chaji

Camera Kali

Design nzuri

Camera haichuji

Video nzuri



Kuifanya iwe na muonekano ni kubadili protector tu
 
Hii simu yangu Google pixel 4a 5G niliyonunua kwa pesa yangu mwenyewe Tsh 400k ambayo haujawahi kuishiwa na bundle, pia ambayo ndio kwanza haina miezi minne tangu nimeinunua mimi mwenyewe siwezi kuichoka ๐Ÿ˜Ž
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom