Furahia simu yako hapa

Furahia simu yako hapa

Mkuu nikijaribu kuintall solo launcher kuna message hii ya setting inakuja naomba unielekeze

fungua hapo kwenye SETTING, itakupeleka moja kwa moja sehemu ambayo unatakiwa kuweka TICK ili kuruhusu kuinstall app from unknown sources. ukiweka tick rudi basi kisha install tena, itakubali vizuri kabisa.
 
Kuna baadh ya sm hiz za mediatek kila ukiwasha n lazma uselect launcher na keyboard maana i awakiã kwenye bultin apps
 
Safi sana mkuu, lakini mbona apps hizo zinakuja ziko pre-installed kwenye simu au inategemea version/model ya simu husika - 'am just curious!!!
 
Toka nianze kutumia Lollipop, sijaona Launcher bora zaidi ya hii custom (LG G2) ila nilivokua na Samsung Kitkat na JB nilikua naipenda sana Aviate ile ya Yahoo na Go
 
Mm natumia lolipop launcher simple na rahisi kuitumia.
 
Habarini wakuu.....

Leo nataka niwaonyeshe jinsi nilivobadili mwonekano wa Huawei y300-100 yangu na kuifanya kua tam kama mcharoo.
Hizi ni app ambazo zitaipa feeling ya 4.4.4 sim yako ya android v4.0 na kuendelea best up to 4.4
Kuna app tatu ntawapa nazo zitasaidia sana mageuzi haya..

1) Kwanza tutaanza na kuinstall launcher. Zipo launcher nyingi sana ila kwa matokeo kama yangu unashauriwa utumie "SOLO LAUNCHER"

Launcher hii inaleta smooth looking kwa sim yako na kuifanya kuwa na looking flani Amaizing.
Solo Launcher Android App i
Ifuate hapo ishushe na uiinstall

2) Pili tutainstall Font pack. Wote tunajua default font inakua inaboa basi kupata mambo mazuri katika font zako download "Ifont hapa .. iFont - Expert of Fonts Android App alafu install na itarestart sim ili ichukue effects.

3)Kama kawaida tunatupia kitu cha app lock. Lazima tulock app zetu kuokoa mengi au sio? ��ila tunaitaji locker ambayo ni 0% opacity yaani haitovurugana na rangi ya background (hapa nazungumzia rangi itakayokua kwa io solo launcher).

Zipo locker nyingi ila leo nawapakulia linki ya ii apa "SMART APP PROTECTOR" ifuate hapa
Smart App Protector Android App i
nstall seti na maliza kazi.

Kwa kweli sasa sim yangu naona utam wake na inapendeza kwa kweli...
#mbwaHafiAkionaUfuko

Best of the best launcher is only Go launcher EX pro version, msijaribu maana you will never leave, haya hapa naona like ure just joking
 

Attachments

  • 1435816935083.jpg
    1435816935083.jpg
    32.4 KB · Views: 166
  • 1435816952032.jpg
    1435816952032.jpg
    11.5 KB · Views: 155
  • 1435816974775.jpg
    1435816974775.jpg
    27.4 KB · Views: 155
  • 1435817006360.jpg
    1435817006360.jpg
    54.3 KB · Views: 145

Attachments

  • 1436722714978.jpg
    1436722714978.jpg
    59.9 KB · Views: 155
  • 1436722751741.jpg
    1436722751741.jpg
    36.9 KB · Views: 144
  • 1436722774445.jpg
    1436722774445.jpg
    57.9 KB · Views: 140
  • 1436722799455.jpg
    1436722799455.jpg
    18.4 KB · Views: 136
  • 1436722844065.jpg
    1436722844065.jpg
    41.4 KB · Views: 127
  • 1436722860639.jpg
    1436722860639.jpg
    44 KB · Views: 122
  • 1436722906106.jpg
    1436722906106.jpg
    27.4 KB · Views: 123

Similar Discussions

Back
Top Bottom