Furahi day!

Jamani leo c ndo tulisema tunakutana kwajili ya kukabidhi ule mchango?inakuwaje sasa?tunakutana sa ngapi na je niwatafute wahusika ambao mwana kijiji kasema niwape kajimchango ketu?plz nahitaji maoni yenu.
 
yes leo friday tumjibu pearl tukutane waapi na saa ngapi na pearl wasiliana na hao watu uloambiwa uwasiliane nao
 
nashinwa kuwasiliana nao mpaka nijue ss tumejipanga sa ngapi ili niwape info kamili
yes leo friday tumjibu pearl tukutane waapi na saa ngapi na pearl wasiliana na hao watu uloambiwa uwasiliane nao
 
pouwa basi nimepewa watu kama 3 ivi mmoja wapo michuzi je niwasiliane na nani?mm picha nooooooo
Wasiliana nao tu ujue ratiba yao ikoje kisha sisi wadau ndipo tukubaliane muda muafaka kwa wote.
 
pouwa basi nimepewa watu kama 3 ivi mmoja wapo michuzi je niwasiliane na nani?mm picha nooooooo
wasiliana na maxcence!............the simplest and best method!hapo moja kwa moja SANCTUS MTSIMBE utakuwa umempata
 
Wasiliana na Sanctus au Maxence wamesha enda kukabidhi hapo Redd Cross
 
Back
Top Bottom