Furaha yako kubwa hapa duniani ni nini?

Furaha yako kubwa hapa duniani ni nini?

Nguva Jike

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2018
Posts
1,292
Reaction score
1,867
Habari za jioni ndugu.

Nimefikiria sana kuhusu suala la furaha ya kila binadamu hapa duniani ni nini? Nikapata jibu kuwa kila mtu anayo furaha binafsi yake mwenyewe.

Mimi binafsi furaha yangu binafsi napenda sana kusafiri sehemu tofauti japo uwezo unanipiga chenga sana.Pia napenda sana kuona wengine wakiwa na furaha.Huwa nawasaidia wengine kwa cha ziada.

Mfano mimi ni fundi ujenzi nikiona mtu ana choo kibovu au kajumba kachakavu namshauri akibomoe na kumjengea kizuri.Malipo huwa nafikiriwa chochote silalamiki.Sipendi dhulma naichukia sana.Kingine napenda kuonana na viongozi wakuu wa nchi hasa maraisi,mawaziri wakuu na mawaziri lakini sipati nafasi hiyo tate nanee JMK siku nikionana nae nitafurahi Sana.

Wewe mwenzangu furaha yako halisi ni ipi andika chochote lakini kuwa makini.
 
mimi ni fundi ujenzi nikiona mtu ana choo kibovu au kajumba kachakavu namshauri akibomoe na kumjengea kizuri.Malipo huwa nafikiriwa chochote silalamiki.Sipendi dhulma naichukia sana.
Hili tangazo la biashara yako ya ujenzi limekaa kimkakati sana, ila umesahau kuweka namba ya simu wateja wakutafute.

Haya, kalipie tangazo
 
Habari za jioni ndugu.

Nimefikiria sana kuhusu suala la furaha ya kila binadamu hapa duniani ni nini? Nikapata jibu kuwa kila mtu anayo furaha binafsi yake mwenyewe.

Mimi binafsi furaha yangu binafsi napenda sana kusafiri sehemu tofauti japo uwezo unanipiga chenga sana.Pia napenda sana kuona wengine wakiwa na furaha.Huwa nawasaidia wengine kwa cha ziada.

Mfano mimi ni fundi ujenzi nikiona mtu ana choo kibovu au kajumba kachakavu namshauri akibomoe na kumjengea kizuri.Malipo huwa nafikiriwa chochote silalamiki.Sipendi dhulma naichukia sana.Kingine napenda kuonana na viongozi wakuu wa nchi hasa maraisi,mawaziri wakuu na mawaziri lakini sipati nafasi hiyo tate nanee JMK siku nikionana nae nitafurahi Sana.

Wewe mwenzangu furaha yako halisi ni ipi andika chochote lakini kuwa makini.
Furaha yangu kubwa ni kuona wazazi wangu wanaishi vyema bila uhitaji wowote kwa miaka mingi hapa duniani, lakini pia amani kwa familia yangu ikiwemo watoto na ndugu zangu na zaidi sana kuona upendo unatamalaki kwa kila mtu hiyo ndo furaha yangu mimi.
 
Habari za jioni ndugu.

Nimefikiria sana kuhusu suala la furaha ya kila binadamu hapa duniani ni nini? Nikapata jibu kuwa kila mtu anayo furaha binafsi yake mwenyewe.

Mimi binafsi furaha yangu binafsi napenda sana kusafiri sehemu tofauti japo uwezo unanipiga chenga sana.Pia napenda sana kuona wengine wakiwa na furaha.Huwa nawasaidia wengine kwa cha ziada.

Mfano mimi ni fundi ujenzi nikiona mtu ana choo kibovu au kajumba kachakavu namshauri akibomoe na kumjengea kizuri.Malipo huwa nafikiriwa chochote silalamiki.Sipendi dhulma naichukia sana.Kingine napenda kuonana na viongozi wakuu wa nchi hasa maraisi,mawaziri wakuu na mawaziri lakini sipati nafasi hiyo tate nanee JMK siku nikionana nae nitafurahi Sana.

Wewe mwenzangu furaha yako halisi ni ipi andika chochote lakini kuwa makini.
Kumbato.....
 
Kusoma bible kusifu kuabudu kusaidia watu
 
.......hakuna furaha ya kudumu ktk maisha ya mwanadamu, na hii inathibitisha kuwa dunia si mahali pa makazi ya binadamu, ni sehemu ya kupita tu, furaha ni ya vipindi na muda mfupi kwa ajili ya kumtia moyo mwanadamu na ili kuongeza ladha na thamani ya maisha.......
........Kwa hiyo furaha hiyo ndogo ya mwanadamu huletwa ktk namna mbili tu 1. kutimiza malengo yote au tamaa zote kubwa ulizonazo ktk ulimwengu huu toka ulipojitambua 2. Kuwa na uwezo wa kutatua kila tatizo linalokutokea ktk maisha yako
.....hivyo basi kwa kuwa haiwezekani kutimiza matamanio yote, na pia kwakuwa haiwezekani kusovu kila tatizo, basi maisha yetu yanabaki kuwa ni ya shida kwa kiasi kubwa na furaha kiasi kidogo au nyakati chache.........
 
Back
Top Bottom