Furaha yako kubwa hapa duniani ni nini?

Furaha yako kubwa hapa duniani ni nini?

Furaha yangu imebadilika currently, sijui ndo uzee umepiga hodi.....sex was everything ndio kitu ilikua inanipa furaha kuliko kitu chochote sex sex xex .... But now...

Peace of mind
Financial freedom

Ooh haleluyah.......
Uzee is real
ERoni
Hali imebadilika ghafla Evelyn 🤣🤣🤣.
Ila hizo mbili ukiwa nazo tutarudi kule kule kwa sex sex sex!!
BTW, wewe katoto bado!!
 
Nakuwa happy kuona familia iko poa sana, yaani nikiona kids wapo okay, familia iko bien basi napata amani ya moyo.

Adventure, going places na marafiki for weekends.

Nilichogundua, hakuna furaha ya mda mrefu, kila kitu duniani kipo kwa muda fu kama sisi tulivyo wa muda mfupi tu.
 
Hali imebadilika ghafla Evelyn 🤣🤣🤣.
Ila hizo mbili ukiwa nazo tutarudi kule kule kwa sex sex sex!!
BTW, wewe katoto bado!!
Hamna hali imebadilika kwakweli, mie nlikua siwezi maliza siku tatu bila kwichi.....mtu akinambia eti wanakaa wiki mwezi najiuliza sana inawezekanajeee howww?!!!

Zamu yangu, nimefikiwa 🄹🄹🄹wiki bila mb0o na nipo sawa tu....uzee is real
 
Majukumu ya ukubwa huenda, ni mapito tu utarudi kwenye kwichi kama kawaida. Wenzako hata 2 weeks poa tu.
 
Majukumu ya ukubwa huenda, ni mapito tu utarudi kwenye kwichi kama kawaida. Wenzako hata 2 weeks poa tu.
Mie wiki naona sio sawa ikifika wiki mbili nitajiona nimeachika 🤣🤣🤣
 
Furaha Happiness
Furaha Joyful.

Happiness -ni furaha ambayo MTU huipata baada ya kupata kitu fulani mfano kufaulu mtihani , kununua gari ngono n.k. hii furaha huwa haidumu.

Joyful- hii ndo furaha halisi ambayo Mungu aliitoa kwa binadamu hii ndo hufanya watoto wasiokuwa na pesa , kufurahi ,kucheka n.k. hii huwa inadumu.

Kuhusu swali lako , Mimi furaha yangu haipo katika kitu chochote Mimi Nina furaha 24/7. Ambayo IPO ndani kwangu.

Kuhusu wishes , ambazo nyie huwa mnaziita furaha Mimi I wish everybody to afford good life .
 
Mie wiki naona sio sawa ikifika wiki mbili nitajiona nimeachika 🤣🤣🤣
Aaah asee uko vizuri, hta huyo mwamba yuko vizuri hakyanani. Maana kama angekuwa legelege angekukimbia🤣🤣
 
1. Afya
2. Amani ya akili,, mwili, kiroho kwangu na watu wanizungukao.
 
Furaha, ni kuwa na marafiki
Furaha, ni kulewa na marafiki
Furaha, ni kuwa na marafiki
Furaha, ni kulewa na marafiki
 
Furaha Yangu Napenda Michezo, Mazoezi Na Muziki. Charity Na Kusaidia Wasio Jiweza.
 
Back
Top Bottom