Furaha yako kubwa hapa duniani ni nini?

Nguva Jike

JF-Expert Member
Jan 22, 2018
916
1,086
Habari za jioni ndugu.

Nimefikiria sana kuhusu suala la furaha ya kila binadamu hapa duniani ni nini? Nikapata jibu kuwa kila mtu anayo furaha binafsi yake mwenyewe.

Mimi binafsi furaha yangu binafsi napenda sana kusafiri sehemu tofauti japo uwezo unanipiga chenga sana.Pia napenda sana kuona wengine wakiwa na furaha.Huwa nawasaidia wengine kwa cha ziada.

Mfano mimi ni fundi ujenzi nikiona mtu ana choo kibovu au kajumba kachakavu namshauri akibomoe na kumjengea kizuri.Malipo huwa nafikiriwa chochote silalamiki.Sipendi dhulma naichukia sana.

Wewe mwenzangu furaha yako halisi ni ipi andika chochote lakini kuwa makini.
 
Nisiumwe, nisisikie mtu anaumwa. Sihitaji pesa nyingi za matumizi, wala si mtu wa starehe, ila sipendi ugonjwa wa aina yoyote.
 
Back
Top Bottom