what was the purpose, wakati sheria za uchaguzi zipo wazi?
Sio coz wewe unakula na kusaza ndo ufurahie nchi wanavyoipeleka hao w2 wachache.kama siraha zingeuzwa km pipi ungekua wa1 kufa shuwain tetemente mkubwaSasa unafikiri tabu ya maisha inaondoka kwa kufanya maandamano ya fujo? ushaambiwa usiandamane, wewe umekazania tu.
Tanzania kuna tabu? nani aliokwambia, ingekuwa kuna Tabu Tanzania, saa hizi tungekaa kwenye mtandao?
Exactly "they got fired at", kwa nini? kwa sababu ya kufata watu wenye "upumbavu" ambao wamewaambia andamaneni na huku poilisi wamesha tangaza msifanye maandamano, matokeo? tunayajuwa wote, hakuna siri.
Kwa hakika umeamua kufyata akili zako nyum,shame on youHii nyuzi mlinishambulia wengi, nauliza leo kiko wapi? mbona muafaka mmeufikia na hao hao mliokuwa mnawapinga? tena baada ya kufa watu? Wakati ule mlikuwa hamjui kuwa kila kitu kinazungumzika? au mliingizwa kichwa kichwa na viongozi wenu? nanyi kama misukule mkafata tu? Sasa kiko wapi?