Furaha ya bibi ni kuwa na bwana..................

mnh kama ndoa tu ndio source ya kuwa na furaha,mbona malalamishi hayaishi kila siku?au huyaonagi humu Ruta???you can be happy single au married,sio wenye ndoa tu ndio wana furaha.acha kuwa one sided!
 
Maisha ni kupanga; na kupanga ni kuchagua. UJANA MAJI YA MOTO; Ukija shtuka yeshapoa siku nyingi.

Ngoja wahusika waendelee kukujibu. Mimi nilishapanga na kuchagua.

Kuna namba 9 hapo inakuhusu japo mtoa maada kaipotosha. Malezi yako yapoje kwa wanao especially kama una wakike na wakiume?
 
Mimi ni old fashioned lady. Nina watoto wa kiume tu ambao nitawalea kwenye msingi kuwa ndoa ni moja ya sacrament muhimu. Ningependa either waoe au wawe mapadre si kuzaa hovyo hovyo.

Kuna namba 9 hapo inakuhusu japo mtoa maada kaipotosha. Malezi yako yapoje kwa wanao especially kama una wakike na wakiume?
 
mnh kama ndoa tu ndio source ya kuwa na furaha,mbona malalamishi hayaishi kila siku?au huyaonagi humu Ruta???you can be happy single au married,sio wenye ndoa tu ndio wana furaha.acha kuwa one sided!

yaani kama hili lingekuwa ni kweli basi tungelikuwa kama usemavyo..........................peace of God demands you are married period...........lone ranger is a recipe for endless frustrations.............
 
Mimi ni old fashioned lady. Nina watoto wa kiume tu ambao nitawalea kwenye msingi kuwa ndoa ni moja ya sacrament muhimu. Ningependa either waoe au wawe mapadre si kuzaa hovyo hovyo.

mtazamo huu ni kwa wale ambao wanaamini Mwenyezi Mungu ndiye Bwana wao wa kuwaongoza............katika kila wakifanyacho............na kamwe hawataghairi kitu...........
 
Kuna namba 9 hapo inakuhusu japo mtoa maada kaipotosha. Malezi yako yapoje kwa wanao especially kama una wakike na wakiume?

kaipotosha vipi ukweli kila wakati unauma..........................lol
 
yaani kama hili lingekuwa ni kweli basi tungelikuwa kama usemavyo..........................peace of God demands you are married period...........lone ranger is a recipe for endless frustrations.............
Unapimaje hizo "endless frustrations"????
Kwenye ndoa hamna? Maana nnavyojua wengine wameoa/olewa ila hizo frustration zimewanyonya mpaka zimegeuka depression.
 
fighting against mfumo dume haijalishi whether the said person is single or married! Btw, ukweli upi sasa hapo unaouma??

pitia wasifu wa mdada tajwa halafu jiulize kama hawapo hapa duniani..........
 
Unapimaje hizo "endless frustrations"????
Kwenye ndoa hamna? Maana nnavyojua wengine wameoa/olewa ila hizo frustration zimewanyonya mpaka zimegeuka depression.

unapokosea kumchagua mwenza usilaumu ndoa ila ni mapungufu yako ya kumtambua ambaye muumba ndiye aliyekuandikia................ukikosea majuto huwa ni mjukuu..........
 
Kuolewa ni option na wala sio lazima. Acheni kuzingua wenzenu kila mtu anachagua njia inayomfaa yeye na si ile waifuatayo wengi!!! Eti hawana furaha, hana huyo unaemfahamu wewe! Kwa uchanganuzi wako unadhani walioolewa ndo wana furaha kuliko wanawake wote? You must be joking dude!!!

la msingi ni kuwa furaha ya bibi ni kuwa na bwana awe ndani ya ndoa au hata "come and stay" bado dume linahitajika kwa bibi ajisikie kuwa naye kaaumbika kivikweli..........
 
Hizi sababu zako ni za juu juu sana..
Umewahi kufikiria ya kwamba kuna wengine
wali nyanyaswa (abused) wakiwa wadogo na hata
ukubwani mfano
Physical, mental, Emotional, & Sexual .. mfano wa
watu awaliobakwa..

Naomba ufikirie chambua kabla ya kupayuka..asante

katika kujifunza tabia na taswira ya mwanadamu kipimo huwa ni cha wastani na wapo ambao watakuwa nje ya kipimo hicho......................jambo ambalo umekwepa kulijadili ni ukweli usiopingika ya kuwa furaha ya bibi ni kuwa na bwana............shule, mali na mengineyo kamwe hayawezi kuchukua nafasi ya dume ndani ya maisha ya bibi.........
 
Sio unaconclude kirahisi rahisi ivo, umesoma comment ya afrodenzi?? Unalizungumziaje hilo au we umeangalia matokeo tu na hiyo step waliopo kwa sasa?? Then, pitia tena comment yangu alafu uone kama haiko applicable!

Kipipi..........nimepitia hoja za Afrodenzi na nikabaini ya kuwa anasukumwa na jazba lakini siyo nguvu ya hoja.................yeye amejikita zaidi kwenye extreme cases.....................waliobakwa au klunyanyaswa kijinsia humu duniani ni sehemu ndogo ya jamii na kamwe haiwezi kutumika kupinga ukweli wa ya kuwa .................furaha ya bibi ni kuwa na bwana.........hata hao waathirika wa purukushani za mwanadamu...........bado huangukia kwenye makundi tajwa...................vionjo vyao bado ni vilevile............
 
la msingi ni kuwa furaha ya bibi ni kuwa na bwana awe ndani ya ndoa au hata "come and stay" bado dume linahitajika kwa bibi ajisikie kuwa naye kaaumbika kivikweli..........

Wanchekesha Ruta, asante kwa kudhihirisha kwamba ulichokiandika hata wewe mwenyewe hukijui vizuri zaidi ya kusukumwa na imani tu ndo maana naungana na afrodenzi umechukulia mambo juu juu!!! Talking of 'come and stay' mpaka hapa umeshapingana na hiyo point yako namba 4!! Then if furaha ya bibi ni kuwa na bwana, irimradi kidume kihusike kwenye maisha ya mdada......as far as these ideas of yours are conserned, then it will be better kama ukiidelete hata hiyo point namba 3 for it is immaterial!!
 
Heheheheh. . .
Bwoi, am I glad to have you here.
Napendaga kweli watu wanapotetea wanachosema kwa kurudi na kukubali waliyopinga mwanzo. . .
 
Kipi usichoelewa kilichonisukuma kuandika wala siyo imani ya kidini pekee yake ila mada ambayo nimeinukuu kutoka gazeti la
The Guardian"...........................hebu isome polepole halafu utafahamu kwa nini Afrodenzi hajui anachoongea kwa sababu wenye mada ni wanawake wenzie.....................na wanazungumzia yaliyowasibu wao binafsi.........................mimi nimetoa ufupisho wa maoni yao na kuongezea uzoefu wangu.............................katika maisha kuna vipimo vya wastani..............................wako watakaokwenda nje ya vipimo tajwa....................lakini huwezi kuwachukulia wachache kama sababu ya kuhalalisha wachache wapewe badala ya wengi.............................na hoja zangu bado ni imara hakuna ya kufutwa hapo..............
 
Heheheheh. . .
Bwoi, am I glad to have you here.
Napendaga kweli watu wanapotetea wanachosema kwa kurudi na kukubali waliyopinga mwanzo. . .

hata mimi napendaga mabinti ambao hawasomi kwa uangalifu.....................na kujifariji kuwa nimekubali kugeuka jiwe wakati sivyo...........ujumbe upo palepale bile kidume your life is incomplete..........................just like God has pre-ordained it...............ukitoka kwenye huo mstari utajifariji kuwa uko swafi lakini kumbe hakuna kitu.................'come and stay" is also a married life read ...................1 Corinthians 6: 16 "Or do you not know that he who is joined to a harlot is one body with her? For "the two" He says, shall become one flesh."

Lizzy tatizo lako huliamini Neno la Mungu na hudai limekithiri kwa makosa.........................na ndiyo maana "come and stay" huioni ni ndoa na ndiyo maana unamwuunga mkono kipipi kwenye kutoelewa ninasema nini...........
 
Back
Top Bottom