Mie nikikuona twin wangu online tu na Wii wanguNilifurahi tu ile thread yako ya mwisho uliyofanya watu tukanyagane kanyagane na kujing'ata ng'ata, wengine bila kujua wapi ni wapi .....
mwisho hivyo vikatuni yako vinanifurahisha
Mie nikikuona twin wangu online tu na Wii wangu
Heaven on Earth plus michango ya Evelyn Salt burdaaan kabisa.
Mimi nikimuona umbuje wangu Ennie roho kwatuuu.....
Halafu Evelyn Salt majibu yake sijui anayatoaga wapi
We Vaislay punguza michepuko
Yaani umbuje Jf idumu tu!!Mimi nikimuona umbuje wangu Ennie roho kwatuuu.....
Halafu Evelyn Salt majibu yake sijui anayatoaga wapi
We Vaislay punguza michepuko
Oooh my sweet twin, ....Thank you, u always makes me feel sooo shining....
Mie nikikuona twin wangu online tu na Wii wangu
Heaven on Earth plus michango ya Evelyn Salt burdaaan kabisa.
Evelyn Salt na Misschaga inanyesha ni micharuko hata kuwagegeda ufanye kazi ya ziada.
Nakupenda pia wii!!JF imenifanya nipate kaka,
na mwenye kaka hakosi wifi....
nakupendaga wii wangu
Yan huyu Evelyne Salt mi ananipaga raha kweli. Kuna mtu anaitwa Asprin nae ananifanya maisha yangu yawa marefu..majibu yake sijui huwa anayatoa wapi