Fupi tamu jamani ... ila ndefu hakika inakera!

Fupi tamu jamani ... ila ndefu hakika inakera!

Ba Brio

Member
Joined
Mar 19, 2012
Posts
78
Reaction score
37
Great thinkers, naombeni mawazo yenu kuhusu hii slogan ya channel 5.

Je huu msemo unazingatia maadili ya mtanzania? tcra hawana la kusema juu ya hii misemo ya kingonongono hadharani?

hakika nakereka sana na huu usemi pindi unaposemwa nikiwa nimekaa sebuleni na watoto wangu.

samahani kama heading imekukera pia.
 
Hiyo ni misemo tu ambayo ipo katika fumbo, hivo kutokana na mawazo ya baadhi ya watanzania kuwanza kushoto kulia basi hata sentensi sahihi uonekana ni matusi!!
Unaikumbuka hii fumbo hili darasa la ngapi? "kapigwa chini kavimba juu"
 
Great thinkers, naombeni mawazo yenu kuhusu hii slogan ya channel 5.

Je huu msemo unazingatia maadili ya mtanzania? tcra hawana la kusema juu ya hii misemo ya kingonongono hadharani?

hakika nakereka sana na huu usemi pindi unaposemwa nikiwa nimekaa sebuleni na watoto wangu.

samahani kama heading imekukera pia.

hamna misemo ya kingonongono ,ni uelewa wako tu ndio upo kingonongono.. ata Rais alishasemaga bungeni sku moja kuwa ukitaka kula sharti uliwe na watu tukamuelwa.
 
You never know pengine moja ya malengo ya hiyo media ni kukera watanzania.
Cha msingi wewe onja zote hiyo fupi na ndefu kisha lete mrejesho hapa.
Hahahahahah....! we Makamee wewe..., ahahaha...!
 
Ok.., hata kama wamemaanisha hivyo tunavyohisi.., Sasa najiuliza.., fupi inawezaje kuwa tamu kuliko ndefu.., em' waonjaji waje watudadavulie hili.., kuna ukweli hapo..?!
 
Inategemea na tafsiri yako kijana sijaona cha ajabu hapo. Watu wa habari watusaidie. Lakini upande wangu matumizi ya lugha yamezingatiwa
 
yaani usemi tu Ndio unakuumiza....mapicha ya uchi ya muziki huyaoni.....?
 
Kama huo msemo unakukera s

Inabid

Sikiliza wimbo wimbo mpya wa wagosi wa kaya “BAO“ .

Halaf leta mrejesho .

Huo wimbo kwa mara ya kwanza nauskia ofisini nilikuwa na akina mama mmoja akazima redio fasta... Hata ile WTF ya airtel siielewielewi eti.
 
Usivae kiatu kikubwa kuliko mguu wako
 
Hakuna shaka kuwa maadili yameporomoka sana Tanzania. Heshima, staha na adabu imekuwa ni vitu adimu, si kwa misemo tu, hata kwa vitendo.

Huo msemo ni kweli kabisa, huwezi kuwacha kuona haya utapousikiliza na watu unaowaheshimu, ingawa sijausikia au kuuona kwenye hiyo channel unayoisema lakini hivyo ulivyo tu hauleti sura nzuri.
 
Huo wimbo kwa mara ya kwanza nauskia ofisini nilikuwa na akina mama mmoja akazima redio fasta... Hata ile WTF ya airtel siielewielewi eti.

mmh tangazo la airtl ni watsapp, twitter na Facebook......BTW: U ARE MICD BY MEE
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom