Fupi tamu jamani ... ila ndefu hakika inakera!

Fupi tamu jamani ... ila ndefu hakika inakera!

Hiyo ni misemo tu ambayo ipo katika fumbo, hivo kutokana na mawazo ya baadhi ya watanzania kuwanza kushoto kulia basi hata sentensi sahihi uonekana ni matusi!!
Unaikumbuka hii fumbo hili darasa la ngapi? "kapigwa chini kavimba juu"


Hili si fumbo bali ni maneno ya kiukweli kuhusu mademu vicheche. Utawasikia mie bikira, baada ya muda tumbo hilo na ndipo unakuja msemo wa kapigwa chini kavimba juu.
 
Hahahaaaa rais naye anamaneno ya shombo lo!mleta mada inabidi awe anasikiliza/anaangalia stesheni nyingine
 
MAJIBU KAMILI HAYA HAPA.
kwanza maneno hayo yapo kwenye tangazo la kipindi cha ze comedy wamo akna bambo,masawe na wengne.
pili n tangazo la vchekesho tu.
tatu kinachomaanishwa SCENCE ZAO ZA VICHEKESHO HUWAGA NI FUPI FUPI WALA SIO NDEFU
 
Huo wimbo kwa mara ya kwanza nauskia ofisini nilikuwa na akina mama mmoja akazima redio fasta... Hata ile WTF ya airtel siielewielewi eti.

Hahahahahaaaah....
Huo wimbo unamafumbo na misemo tata .....mwanzo hadi mwisho wa verse.
 
Great thinkers, naombeni mawazo yenu kuhusu hii slogan ya channel 5.

Je huu msemo unazingatia maadili ya mtanzania? tcra hawana la kusema juu ya hii misemo ya kingonongono hadharani?

hakika nakereka sana na huu usemi pindi unaposemwa nikiwa nimekaa sebuleni na watoto wangu.

samahani kama heading imekukera pia.

Kipindi ni cha muda mfupi. Nusu saa tu. So wanamaanisha kipindi chenye muda mrefu wa hewani kinakela.
 
Poleni sana watu wa bara, sie wapwani hatupati shida na misemo midogo midogo kama hiyo.
 
Fupi tamu jaman,hakika ndefu inakera.msemo huu unamaana nying,uweke mawazo yako upande mmoja endele kutafakar uswe kilaza.
 
hiyo ni tungo ambayo ina maana zaidi ya moja, ila sema wewe akili yako ndio imekaa kingonongono, ndio maana ukaenda huko, wala usiwasingizie ch5, mbona hujafikiria kuwa ni bamia, au ice cream.
 
.Maadili hayazingatiwi siku hizi.

Ukiona tangazo la durex kule sky news kama uko na family lazima uzime tv.
 
hamna misemo ya kingonongono ,ni uelewa wako tu ndio upo kingonongono.. ata Rais alishasemaga bungeni sku moja kuwa ukitaka kula sharti uliwe na watu tukamuelwa.

Nkuu hebu fikiria umekaa na mama yako, baba yako na mkeo sebuleni alafu kwa Bahati mbaya mama yako ni mfupi na mkeo ni mrefu alafu huo msemo unatamkwa mbele yenu inakuaje hapo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom