Chivundu
Platinum Member
- Dec 17, 2012
- 9,866
- 14,216
Bado, ngugulila agha kufuma kwa mwakaleli.
Ukwesile mitongatonga nkhamu?
Bado, ngugulila agha kufuma kwa mwakaleli.
wimbo mpya wa wagosi wa kaya..
Ahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Kwikwiwiiii mh huu wimbo nao ni utata mtupu
Ngoja niuskize na mm
Sikiliza mkuu hawa wagosi ni watundu
Sikiliza mkuu hawa wagosi ni watundu
Sikiliza mkuu hawa wagosi ni watundu
Sijui walifikiria nn? Mpaka kuandka hivyo yan n xhida ila iko pouwaaaa....
Great thinkers, naombeni mawazo yenu kuhusu hii slogan ya channel 5.
Je huu msemo unazingatia maadili ya mtanzania? tcra hawana la kusema juu ya hii misemo ya kingonongono hadharani?
hakika nakereka sana na huu usemi pindi unaposemwa nikiwa nimekaa sebuleni na watoto wangu.
samahani kama heading imekukera pia.
Semeni tangazo linasemaje ? wenye DStv hua hatuoni channel 5.
Duu asante aseee...ilinipa tabu hii
Mmmmh kumbe ndo maana yake... naali kuntu kuumu... miss you too.