Nebuchadinezzer
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,403
- 2,550
Angemwambia kwanza.What if huyo Zungu alitaka kuwaoa wote mkuu?!...out of curiosity !
Nipe faida 2 tu atakazopata Neema binafsi kwa kitendo alichofanya nami nitakuunga mkono.Nianze kwa kulaani kitendo alichofanya huyu Neema, cha kumuua mpenzi wake kwa kumteketeza kwa moto. Ni kitendo cha kinyama sana.
Funzo:
1. Tunatakiwe tuwe real kwenye mahusiano yetu. Ni dhambi kubwa sana kumuaminisha mtu kuwa unampenda halafu kumbe kuna mwingine unampenda na umeshamtambulisha kwenu.
Biblia inasema, "Upendo una nguvu sawa sawa na kifo" Si vyema kucheza na hisia za watu.
Kama mtu humupendi kwanini umdanganye?
Zungu amepokea mshahara wake aliositahili. Bado wewe unae-cheat sijui utapokea lini.
NB: Msianze kuhusisha kabila la mtu na upumbavu wake. Mambo hayo ni ya kizamani sana. Mimi Nebuchadinezzer nina mchumba mmoja tu tena Mchaga wa Machame. "She is very humble, beautiful and God-fearing.
Kama una mpango na demu wako, mwambie mwanzo kabisa sio kumfanya dada wa watu anawekeza kwako halafu mwisho wa siku, faida anakula mtu mwingine.
Poleni sana wafiwa.
PIA SOMA
Siku zote nasemaga, kwenye mahusiano, ndoaKama mtu haeleweki achana nae
Haya mambo ya kulazimishana mapenzi hadi kufikia kuuana ni ya kishamba na kishetani
Mungu atupe macho na masikio ya ndani kuelewa sehemu zisizotufaa
Mi ndugu zangu kwa upande wa baba wameoa Wachaga na sasa hadi wana Wajukuu mkuu.Huwezi kumtetea Neema, Neema ni mchaga. Wachaga sio watu wazuri. Na kama ndugu yako ameoa mchaga mwambie aendelee kupumulia mashine. Siku zake zinahesabiwa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Huwezi kumtetea Neema, Neema ni mchaga. Wachaga sio watu wazuri. Na kama ndugu yako ameoa mchaga mwambie aendelee kupumulia mashine. Siku zake zinahesabiwa😄😄😄😄😄😄
Mzingue uone sasa, haya yote yatasomeka kinyumenyume! God fearing inageuka kuwa satan fearingMimi Nebuchadinezzer nina mchumba mmoja tu tena Mchaga wa Machame. "She is very humble, beautiful and God-fearing
Amen! Then don't expect too muchMapenzi/mahusiano/ndoa yoyote ile,bila ya kumtanguliza Mungu usitegemee muujiza...
Aisifuye mvua...Ujumbe, vijana waache kudanga.
Kuna kijana aiashi makumbusho hapo, ana subaru impreza na forester. Anadanga kupita maelezo. Ni ana mademu kama wote. Yaan haya yote anayomiliki ni kutokea migukoni mwa wanawake anaowarubuni. Chalii yangu kiama chako chajaa[emoji23][emoji23] na anajisifiaga balaaa anawadanga. Iko siku
Mungu akusaidie ukatimize ndoto zakoMi ndugu zangu kwa upande wa baba wameoa Wachaga na sasa hadi wana Wajukuu mkuu.
Mimi mwenyewe nina mchumba mchaga wa Machame. Very humble and God-fearing....kuna siku nitamleta humu JF.
Zungu matatizo yake yamekwisha na ya grace ndo yameanza mkuuNianze kwa kulaani kitendo alichofanya huyu Grace, cha kumuua mpenzi wake kwa kumteketeza kwa moto. Ni kitendo cha kinyama sana.
Funzo:
1. Tunatakiwe tuwe real kwenye mahusiano yetu. Ni dhambi kubwa sana kumuaminisha mtu kuwa unampenda halafu kumbe kuna mwingine unampenda na umeshamtambulisha kwenu.
Biblia inasema, "Upendo una nguvu sawa sawa na kifo" Si vyema kucheza na hisia za watu.
Kama mtu humupendi kwanini umdanganye?
Zungu amepokea mshahara wake aliositahili. Bado wewe unae-cheat sijui utapokea lini.
NB: Msianze kuhusisha kabila la mtu na upumbavu wake. Mambo hayo ni ya kizamani sana. Mimi Nebuchadinezzer nina mchumba mmoja tu tena Mchaga wa Machame. "She is very humble, beautiful and God-fearing.
Kama una mpango na demu wako, mwambie mwanzo kabisa sio kumfanya dada wa watu anawekeza kwako halafu mwisho wa siku, faida anakula mtu mwingine.
Poleni sana wafiwa.
PIA SOMA
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16]Ujumbe, vijana waache kudanga.