Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,263
- 17,139
Lema anaenda Bukoba kwa chopa na akitoka hapo anaenda kum-join Mbowe Mara. Kama huna ratiba kaa kimya.
WanaJF!
Ni wazi kuwa wananchi na hasa wapenzi wa CHADEMA wangependa kujua ni nani kati ya viongozi waliopo mwenye nafasi kubwa ya kuongoza chama hicho kwenye nafasi ya uenyekiti katika ngazi ya taifa.
Ni ukweli kuwa CHADEMA kwa sasa ni chama kikubwa cha siasa nchini, hivyo kwa hadhi hiyo uchaguzi wake ni lazima uwe na hamasa kulinganisha na chaguzi za vyama vingine, hivyo ni haki kwa wananchi kuwa na shahuku na uchaguzi wa CHADEMA.
Katika penya penya zangu na uchunguzi mkubwa nilioufanya kwenye chama hicho, nimegundua kuwa ndani ya CHADEMA kwa sasa ni bwana Godbless Lema ndiye mwenye nguvu na nafasi kubwa ya kuwa mwenyekiti wa CHADEMA taifa.
Itakumbukwa kuwa Godbless Lema ni mbunge wa Arusha mjini, na pia mzaliwa wa Kilimanjaro na ina semekana ana ujamaa na bwana Mbowe, hivyo kwa maelezo haya ni wazi kuwa ametimiza vigezo vikuu vya kuwa mwenyekiti wa CHADEMA taifa.
Aidha, ndugu Lema kwa sasa anapigiwa 'promo' na mwenyekiti wa sasa, bwana Mbowe, kwa kuhakikisha ana ambatana nae kwenye mikutano mikubwa kwa midogo ya CHADEMA, na pia bwana Mbowe bila kificho uwa ana msifu Lema kuwa ndiye 'jembe' la CHADEMA.
Lakini vilele ningependa ieleweke kwamba, katika mchakato wa kumpata mwenyekiti au kiongozi mwingine yeyote ndani ya CHADEMA kwenye ngazi ya taifa, vigezo vifuatavyo sio vya muhimu sana;
i) ELIMU, angalau mwombaji awe na elimu ya kidato cha nne, nadhani hii bwana Lema atamudu.
ii) UZOEFU, ni CHADEMA pekee ambayo utoa nafasi kwa mtu kuwa kiongozi pasipo kukitumikia chama kwa kipindi cha angalau miaka mitatu.
iii) MAADILI, hili halizingatiwi kabisa, na imeonekana likiwekwa kama kigezo cha kupata kiongozi ndani ya CHADEMA ni wengi watakosa nafasi.
Hivyo basi, ni wazi kuwa kama sifa tajwa hapo juu zimepuuzwa na CHADEMA katika mchakato wa kumpata mwenyekiti wa chama hicho, ni ukweli usio pingika kuwa Godbless Lema ana andaliwa kuirithi mikoba ya Mbowe.

Hivi jana umelala kweli wewe? Saa ngapi? maana inaonesha umeiposti hii saa 11 alfajili leo!! By the way, na mimi nimezipata NI FUNUNU TU kwamba, likely wewe ndiwe unaweza kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa CHADEMA taifa!!WanaJF! Ni wazi kuwa wananchi na hasa wapenzi wa CHADEMA wangependa kujua ni nani kati ya viongozi waliopo mwenye nafasi kubwa ya kuongoza chama hicho kwenye nafasi ya uenyekiti katika ngazi ya taifa. Ni ukweli kuwa CHADEMA kwa sasa ni chama kikubwa cha siasa nchini, hivyo kwa hadhi hiyo uchaguzi wake ni lazima uwe na hamasa kulinganisha na chaguzi za vyama vingine, hivyo ni haki kwa wananchi kuwa na shahuku na uchaguzi wa CHADEMA. Katika penya penya zangu na uchunguzi mkubwa nilioufanya kwenye chama hicho, nimegundua kuwa ndani ya CHADEMA kwa sasa ni bwana Godbless Lema ndiye mwenye nguvu na nafasi kubwa ya kuwa mwenyekiti wa CHADEMA taifa. Itakumbukwa kuwa Godbless Lema ni mbunge wa Arusha mjini, na pia mzaliwa wa Kilimanjaro na ina semekana ana ujamaa na bwana Mbowe, hivyo kwa maelezo haya ni wazi kuwa ametimiza vigezo vikuu vya kuwa mwenyekiti wa CHADEMA taifa. Aidha, ndugu Lema kwa sasa anapigiwa 'promo' na mwenyekiti wa sasa, bwana Mbowe, kwa kuhakikisha ana ambatana nae kwenye mikutano mikubwa kwa midogo ya CHADEMA, na pia bwana Mbowe bila kificho uwa ana msifu Lema kuwa ndiye 'jembe' la CHADEMA. Lakini vilele ningependa ieleweke kwamba, katika mchakato wa kumpata mwenyekiti au kiongozi mwingine yeyote ndani ya CHADEMA kwenye ngazi ya taifa, vigezo vifuatavyo sio vya muhimu sana; i) ELIMU, angalau mwombaji awe na elimu ya kidato cha nne, nadhani hii bwana Lema atamudu. ii) UZOEFU, ni CHADEMA pekee ambayo utoa nafasi kwa mtu kuwa kiongozi pasipo kukitumikia chama kwa kipindi cha angalau miaka mitatu. iii) MAADILI, hili halizingatiwi kabisa, na imeonekana likiwekwa kama kigezo cha kupata kiongozi ndani ya CHADEMA ni wengi watakosa nafasi. Hivyo basi, ni wazi kuwa kama sifa tajwa hapo juu zimepuuzwa na CHADEMA katika mchakato wa kumpata mwenyekiti wa chama hicho, ni ukweli usio pingika kuwa Godbless Lema ana andaliwa kuirithi mikoba ya Mbowe.
WanaJF!
Ni wazi kuwa wananchi na hasa wapenzi wa CHADEMA wangependa kujua ni nani kati ya viongozi waliopo mwenye nafasi kubwa ya kuongoza chama hicho kwenye nafasi ya uenyekiti katika ngazi ya taifa.
Ni ukweli kuwa CHADEMA kwa sasa ni chama kikubwa cha siasa nchini, hivyo kwa hadhi hiyo uchaguzi wake ni lazima uwe na hamasa kulinganisha na chaguzi za vyama vingine, hivyo ni haki kwa wananchi kuwa na shahuku na uchaguzi wa CHADEMA.
Katika penya penya zangu na uchunguzi mkubwa nilioufanya kwenye chama hicho, nimegundua kuwa ndani ya CHADEMA kwa sasa ni bwana Godbless Lema ndiye mwenye nguvu na nafasi kubwa ya kuwa mwenyekiti wa CHADEMA taifa.
Itakumbukwa kuwa Godbless Lema ni mbunge wa Arusha mjini, na pia mzaliwa wa Kilimanjaro na ina semekana ana ujamaa na bwana Mbowe, hivyo kwa maelezo haya ni wazi kuwa ametimiza vigezo vikuu vya kuwa mwenyekiti wa CHADEMA taifa.
Aidha, ndugu Lema kwa sasa anapigiwa 'promo' na mwenyekiti wa sasa, bwana Mbowe, kwa kuhakikisha ana ambatana nae kwenye mikutano mikubwa kwa midogo ya CHADEMA, na pia bwana Mbowe bila kificho uwa ana msifu Lema kuwa ndiye 'jembe' la CHADEMA.
Lakini vilele ningependa ieleweke kwamba, katika mchakato wa kumpata mwenyekiti au kiongozi mwingine yeyote ndani ya CHADEMA kwenye ngazi ya taifa, vigezo vifuatavyo sio vya muhimu sana;
i) ELIMU, angalau mwombaji awe na elimu ya kidato cha nne, nadhani hii bwana Lema atamudu.
ii) UZOEFU, ni CHADEMA pekee ambayo utoa nafasi kwa mtu kuwa kiongozi pasipo kukitumikia chama kwa kipindi cha angalau miaka mitatu.
iii) MAADILI, hili halizingatiwi kabisa, na imeonekana likiwekwa kama kigezo cha kupata kiongozi ndani ya CHADEMA ni wengi watakosa nafasi.
Hivyo basi, ni wazi kuwa kama sifa tajwa hapo juu zimepuuzwa na CHADEMA katika mchakato wa kumpata mwenyekiti wa chama hicho, ni ukweli usio pingika kuwa Godbless Lema ana andaliwa kuirithi mikoba ya Mbowe.
Katika ile orodha hakuna muuza madawa yakulevya hata mmoja,
Hata Masogange ambae taifa linajua wazi amekamatwa na KILO 150 sawa na mifuko mitatu ya simenti HAYUPO kwenye hiyo LIST, sasa jiulize kuna serikali au genge la wauza madawa ya kulevya tu?
Kwani leo ndiyo tarehe 23 au wewe ulikuwepo kwenye kikao mlijadili mambo gani sasa.Mkutano wa dharura umeisha pale Lumumba muda huu, uamuzi wa Nec mkoa Kagela unabakia pale pale!!! -- HAMMY-D umeipata hiyo? leo Lumumba posho hamna, panafuka moshi.
WanaJF!
Ni wazi kuwa wananchi na hasa wapenzi wa CHADEMA wangependa kujua ni nani kati ya viongozi waliopo mwenye nafasi kubwa ya kuongoza chama hicho kwenye nafasi ya uenyekiti katika ngazi ya taifa.
Ni ukweli kuwa CHADEMA kwa sasa ni chama kikubwa cha siasa nchini, hivyo kwa hadhi hiyo uchaguzi wake ni lazima uwe na hamasa kulinganisha na chaguzi za vyama vingine, hivyo ni haki kwa wananchi kuwa na shahuku na uchaguzi wa CHADEMA.
Katika penya penya zangu na uchunguzi mkubwa nilioufanya kwenye chama hicho, nimegundua kuwa ndani ya CHADEMA kwa sasa ni bwana Godbless Lema ndiye mwenye nguvu na nafasi kubwa ya kuwa mwenyekiti wa CHADEMA taifa.
Itakumbukwa kuwa Godbless Lema ni mbunge wa Arusha mjini, na pia mzaliwa wa Kilimanjaro na ina semekana ana ujamaa na bwana Mbowe, hivyo kwa maelezo haya ni wazi kuwa ametimiza vigezo vikuu vya kuwa mwenyekiti wa CHADEMA taifa.
Aidha, ndugu Lema kwa sasa anapigiwa 'promo' na mwenyekiti wa sasa, bwana Mbowe, kwa kuhakikisha ana ambatana nae kwenye mikutano mikubwa kwa midogo ya CHADEMA, na pia bwana Mbowe bila kificho uwa ana msifu Lema kuwa ndiye 'jembe' la CHADEMA.
Lakini vilele ningependa ieleweke kwamba, katika mchakato wa kumpata mwenyekiti au kiongozi mwingine yeyote ndani ya CHADEMA kwenye ngazi ya taifa, vigezo vifuatavyo sio vya muhimu sana;
i) ELIMU, angalau mwombaji awe na elimu ya kidato cha nne, nadhani hii bwana Lema atamudu.
ii) UZOEFU, ni CHADEMA pekee ambayo utoa nafasi kwa mtu kuwa kiongozi pasipo kukitumikia chama kwa kipindi cha angalau miaka mitatu.
iii) MAADILI, hili halizingatiwi kabisa, na imeonekana likiwekwa kama kigezo cha kupata kiongozi ndani ya CHADEMA ni wengi watakosa nafasi.
Hivyo basi, ni wazi kuwa kama sifa tajwa hapo juu zimepuuzwa na CHADEMA katika mchakato wa kumpata mwenyekiti wa chama hicho, ni ukweli usio pingika kuwa Godbless Lema ana andaliwa kuirithi mikoba ya Mbowe.
inawauma, maana hamjazoea kutimuana hata sisi tunashangaa ni pepo gani kawapitia.Kwani leo ndiyo tarehe 23 au wewe ulikuwepo kwenye kikao mlijadili mambo gani sasa.
Hakuna cha kuangaika na CHADEMA, mimi kama mpenda amani sina budi kufatilia chaguzi za ndani za CHADEMA kwa lengo la kujua ni nani atakae kuwa mwenyekiti, huyu wa sasa zaidi ya kusababisha mauaji na uvunjifu wa amani kwa kiasi kikubwa hapa nchi, hakuna la maana alilofanya. Je, mkimpa Lema itakuwaje?
WanaJF!
Ni wazi kuwa wananchi na hasa wapenzi wa CHADEMA wangependa kujua ni nani kati ya viongozi waliopo mwenye nafasi kubwa ya kuongoza chama hicho kwenye nafasi ya uenyekiti katika ngazi ya taifa.
Ni ukweli kuwa CHADEMA kwa sasa ni chama kikubwa cha siasa nchini, hivyo kwa hadhi hiyo uchaguzi wake ni lazima uwe na hamasa kulinganisha na chaguzi za vyama vingine, hivyo ni haki kwa wananchi kuwa na shahuku na uchaguzi wa CHADEMA.
Katika penya penya zangu na uchunguzi mkubwa nilioufanya kwenye chama hicho, nimegundua kuwa ndani ya CHADEMA kwa sasa ni bwana Godbless Lema ndiye mwenye nguvu na nafasi kubwa ya kuwa mwenyekiti wa CHADEMA taifa.
Itakumbukwa kuwa Godbless Lema ni mbunge wa Arusha mjini, na pia mzaliwa wa Kilimanjaro na ina semekana ana ujamaa na bwana Mbowe, hivyo kwa maelezo haya ni wazi kuwa ametimiza vigezo vikuu vya kuwa mwenyekiti wa CHADEMA taifa.
Aidha, ndugu Lema kwa sasa anapigiwa 'promo' na mwenyekiti wa sasa, bwana Mbowe, kwa kuhakikisha ana ambatana nae kwenye mikutano mikubwa kwa midogo ya CHADEMA, na pia bwana Mbowe bila kificho uwa ana msifu Lema kuwa ndiye 'jembe' la CHADEMA.
Lakini vilele ningependa ieleweke kwamba, katika mchakato wa kumpata mwenyekiti au kiongozi mwingine yeyote ndani ya CHADEMA kwenye ngazi ya taifa, vigezo vifuatavyo sio vya muhimu sana;
i) ELIMU, angalau mwombaji awe na elimu ya kidato cha nne, nadhani hii bwana Lema atamudu.
ii) UZOEFU, ni CHADEMA pekee ambayo utoa nafasi kwa mtu kuwa kiongozi pasipo kukitumikia chama kwa kipindi cha angalau miaka mitatu.
iii) MAADILI, hili halizingatiwi kabisa, na imeonekana likiwekwa kama kigezo cha kupata kiongozi ndani ya CHADEMA ni wengi watakosa nafasi.
Hivyo basi, ni wazi kuwa kama sifa tajwa hapo juu zimepuuzwa na CHADEMA katika mchakato wa kumpata mwenyekiti wa chama hicho, ni ukweli usio pingika kuwa Godbless Lema ana andaliwa kuirithi mikoba ya Mbowe.
We HAMY-D una taabu sana, Vipi kwenye genge lenu ccm nani atamrithí Kikwete uenyekiti...!?