Funny video clips + Photos

Kama unafanya kazi na 'Weupe' au una boss 'mweupe' basi usiikose hii. Hahahaha... almost the truth about many of them.

Ukiwa mgumu kuelekezwa kazi maamuzi kama haya yatafuatia. Ndo bonus nzuri ya kazi kutolewa na boss!

W/end njema
 

Attachments

Mh
Hapana hii ajali ni ya kufoji au realy maana da si utani inatisha jamaa kapepetwa vibaya mno.
 
Wazee hapa wengi huwa tunachemka kama jamaa anavyoonekana kukolea kwa kimwana katika kideo hiki:-

See
 

Attachments

Huwa tunalilia barabara za juu na za kupitia chini kwa chini zije Dar! Tunajua mabalaa yake?

Hebu angalia hii ya Urusi!

Siku njema kwa wote
 
haaaaa wajameni vp tena

nahitaji hayo ma clips nivunje mambavu
 
Guys on this Katunis your doing Great!!
Note:Other Stuffs as well!
 
Sikiliza hii audio Clip hadi mwisho uvunjike mbavu
 
Mmenichekesha sana, kumbe na hapa kuna vituko eh?
 
Kwa wenye wake najua hii inaweza kukusababishia ku-Ditopile mtu ghafla.

Angalia chini (download)

Mkuu hii kiboko...Nimecheka hadi imebidi niwahi msalani...kwikwikwikwikwikwi
 
Huwa tunalilia barabara za juu na za kupitia chini kwa chini zije Dar! Tunajua mabalaa yake?

Hebu angalia hii ya Urusi!

Siku njema kwa wote

Mbona sioni attachment yako hata moja?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…