Apps nzuri za Tanzania kwa ajili ya Mtanzania, Zilizotengenezwa na Watanzania

T3RN3K

Member
May 30, 2011
92
125
Kama title inavyojielezea, hii ni list ya Apps zote za Android, iOS, Windows n.k zilizotengenezwa na Watanzania na kwa ajili ya Mtanzania. Katika list hii tunaweka apps zilizopo kwenye Stores zinazotambulika tu, kama Google Play Store, App Store, Amazon n.k. Hii ni kwa ajili ya security ili watu wasije wakadownload app ambayo inafanya mambo kinyume na kusudio. List hii ni updatable, mtu yeyote anaruhusiwa kupendekeza App halafu mimi nitailist as soon as possible.

Ili App iwe listed, vitu hivi viorodheshwe
1. Jina la App - Lazima
2. Download link ya kwenye stores (Play Store au App Store (iOS) n.k) - Lazima
2. Matumizi yake (Short Description, yasizidi maneno 70 please) - Lazima
3. Category (Mfano: Elimu, Habari, Burudani, Social etc) - Lazima
4. Jina la Developer - Sio Lazima
5. Website/Email ya Developer - Sio Lazima
7. Website ya App - Sio lazima

Zifuatazo ndio apps zenyewe, mimi naanza na Apps hizi 3 za kwanza (mtanisamehe, ya kwanza ni yangu)1. Zinazosomwa
Zinazosomwa ni app pekee ya habari inayokusanya habari kutoka kwenye blogs na online newspapers za Tanzania zaidi ya 35 na kuzipangilia katika mada. Kikubwa zaidi, ina uwezo wa kugundua nani na nini kinavuma Tanzania na pia inamletea msomaji habari za mada anazozitaka yeye tu. Kwa nini uletewe habari za Siasa wakati wewe unapenda Burudani na Michezo tu?

Category: News and Magazine (Habari na Magazeti)
Download Links: Google Play Store
Developer: StonekApps (Stonek Limited)
App Website: www.zinazosomwa.com

2. Jifunze Mapishi
Jiufunze Mapishi ni app inayo kufundisha jinsi ya kupika mapishi ya aina mbali mbali hasa yale ya kiasili na yale ya kigeni pia kuandaa vinywaji vya aina mbali mbali.Hakuna haja ya kumuuliza mtu endapo utakuwa na program hii.Inatoa viungo na kila kitu utakacho hitaji kikubwa zaidi inakupa hatua kwa hatua ya jinsi ya kupika chakula ukitakacho.

Category: Food & Drinks (Mapishi na Vinywaji)
Download Links: Google Play Store
Developer: Bongo Inc

3. Hadithi
Hadithi ni app kwa ajili ya kusoma na kusikilza hadithi mbalimbali kutoka kwa waandishi nguli wa Tanzania.

Category: Books & References (Vitabu)
Download Links: Google Play Store
Developer: developict4. Millard Ayo
Hii ni App ya blogger na muandishi wa habari maarufu Tanzania, Millard Ayo. App inakupa Stori na news zote za millardayo.com , Inakuwezesha kuhifadhi stori na kuisoma baadae hata kama huna internet baadae.

Category: News and Magazine (Habari na Magazeti)
Download Links: Google Play Store
Developer: idodoe
App Website: millardayo.com5. Cheka
Cheka App Inakupa vichekesho vya kila siku kwa njia ya post za kawaida, picha pamoja na videos.

Category: Social
Downoad Links: Google Play Store
Developer: Edumek Systems6. Nipime
Nipime App ni app rahisi lakini ina uwezo mkubwa, inamuwezesha mwanafunzi kufanya Quizzes za papo kwa papo za Mathematics, Physics, Biology, Chemistry na masomo mengine pamoja na maswali ya NECTA. Quizzes zinakuwa marked automatically na app yenyewe. Pia mwanafunzi anaweza kutumia app hii kutafuta definitions, laws, compounds na maneno (keywords) mengine

Category: Education
Downoad Links: Google Play Store
Developer: Edumek Systems
App Website: http://edumek.com/product/nipimeApp

7. Vichekesho Mubashara
Hii ni app nyingine ya vichekesho itakayokufanya Uvunjive Mbavu zako kwaa kufurahia picha za kuchekesha, video za kuvunja mbavu bila ya kusahau zile SMS za kuchesha.

Category: Entertainment
Downoad Links: Google Play Store
Developer: KaziMoto
App Website: ViTukoTV - Video za vichekesho na Vunjambavu zote hapa

8. Online TV App
App hii inapatakiana Amazon Store, ni kwa ajili ya kuangalia channel za TV live kwenye simu yako

Category: Entertainment
Downoad Links: Amazon Store
Developer: Online Media Solution
App Website: www.onlineapptv.oneHaya, karibuni kuongeza zingine mnazozifahamu na mnajua umuhimu wake kwa mtanzania. Pia mnakarabishwa kutoa marekebesho na nyingoza za apps za kwenye list.
 
Changamka

Senior Member
Sep 27, 2015
130
250
Kama title inavyojielezea, hii ni list ya Apps zote za Android, iOS, Windows n.k zilizotengenezwa na Watanzania na kwa ajili ya Mtanzania. Katika list hii tunaweka apps zilizopo kwenye Stores zinazotambulika tu, kama Google Play Store, App Store, Amazon n.k. Hii ni kwa ajili ya security ili watu wasije wakadownload app ambayo inafanya mambo kinyume na kusudio. List hii ni updatable, mtu yeyote anaruhusiwa kupendekeza App halafu mimi nitailist as soon as possible.

Ili App iwe listed, vitu hivi viorodheshwe
1. Jina la App - Lazima
2. Download link ya kwenye stores (Play Store au App Store (iOS) n.k) - Lazima
2. Matumizi yake (Short Description, yasizidi maneno 70 please) - Lazima
3. Category (Mfano: Elimu, Habari, Burudani, Social etc) - Lazima
4. Jina la Developer - Sio Lazima
5. Website/Email ya Developer - Sio Lazima
7. Website ya App - Sio lazima

Zifuatazo ndio apps zenyewe, mimi naanza na Apps hizi 3 za kwanza (mtanisamehe, ya kwanza ni yangu)

1. Zinazosomwa
Zinazosomwa ni app pekee ya habari inayokusanya habari kutoka kwenye blogs na online newspapers za Tanzania zaidi ya 35 na kuzipangilia katika mada. Kikubwa zaidi, ina uwezo wa kugundua nani na nini kinavuma Tanzania na pia inamletea msomaji habari za mada anazozitaka yeye tu. Kwa nini uletewe habari za Siasa wakati wewe unapenda Burudani na Michezo tu?

Category: News and Magazine (Habari na Magazeti)
Download Links: Google Play Store
Developer: StonekApps (Stonek Limited)
App Website: www.zinazosomwa.com

2. Jifunze Mapishi
Jiufunze Mapishi ni app inayo kufundisha jinsi ya kupika mapishi ya aina mbali mbali hasa yale ya kiasili na yale ya kigeni pia kuandaa vinywaji vya aina mbali mbali.Hakuna haja ya kumuuliza mtu endapo utakuwa na program hii.Inatoa viungo na kila kitu utakacho hitaji kikubwa zaidi inakupa hatua kwa hatua ya jinsi ya kupika chakula ukitakacho.

Category: Food & Drinks (Mapishi na Vinywaji)
Download Links: Google Play Store
Developer: Bongo Inc

3. Hadithi
Hadithi ni app kwa ajili ya kusoma na kusikilza hadithi mbalimbali kutoka kwa waandishi nguli wa Tanzania.

Category: Books & References (Vitabu)
Download Links: Google Play Store
Developer: developict

Haya, karibuni kuongeza zingine mnazozifahamu na mjua umuhimu wake kwa mtanzania. Pia mnakarabishwa kutoa marekebesho na nyingoza za apps za kwenye list.
Hongera sana Ma bachelor's kwenye mapishi umemalizaa mchezo !! Nime download uko poa sana jifunze mapishi
 
Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
12,040
2,000
Millard Ayo mpaka sasa ndiyo app ya kibongo iliyodownlodiwa na watu wengi zaidi. Inasoma 1m
 
Mar 3, 2013
30
95
Kama title inavyojielezea, hii ni list ya Apps zote za Android, iOS, Windows n.k zilizotengenezwa na Watanzania na kwa ajili ya Mtanzania. Katika list hii tunaweka apps zilizopo kwenye Stores zinazotambulika tu, kama Google Play Store, App Store, Amazon n.k. Hii ni kwa ajili ya security ili watu wasije wakadownload app ambayo inafanya mambo kinyume na kusudio. List hii ni updatable, mtu yeyote anaruhusiwa kupendekeza App halafu mimi nitailist as soon as possible.

Ili App iwe listed, vitu hivi viorodheshwe
1. Jina la App - Lazima
2. Download link ya kwenye stores (Play Store au App Store (iOS) n.k) - Lazima
2. Matumizi yake (Short Description, yasizidi maneno 70 please) - Lazima
3. Category (Mfano: Elimu, Habari, Burudani, Social etc) - Lazima
4. Jina la Developer - Sio Lazima
5. Website/Email ya Developer - Sio Lazima
7. Website ya App - Sio lazima

Zifuatazo ndio apps zenyewe, mimi naanza na Apps hizi 3 za kwanza (mtanisamehe, ya kwanza ni yangu)

1. Zinazosomwa
Zinazosomwa ni app pekee ya habari inayokusanya habari kutoka kwenye blogs na online newspapers za Tanzania zaidi ya 35 na kuzipangilia katika mada. Kikubwa zaidi, ina uwezo wa kugundua nani na nini kinavuma Tanzania na pia inamletea msomaji habari za mada anazozitaka yeye tu. Kwa nini uletewe habari za Siasa wakati wewe unapenda Burudani na Michezo tu?

Category: News and Magazine (Habari na Magazeti)
Download Links: Google Play Store
Developer: StonekApps (Stonek Limited)
App Website: www.zinazosomwa.com

2. Jifunze Mapishi
Jiufunze Mapishi ni app inayo kufundisha jinsi ya kupika mapishi ya aina mbali mbali hasa yale ya kiasili na yale ya kigeni pia kuandaa vinywaji vya aina mbali mbali.Hakuna haja ya kumuuliza mtu endapo utakuwa na program hii.Inatoa viungo na kila kitu utakacho hitaji kikubwa zaidi inakupa hatua kwa hatua ya jinsi ya kupika chakula ukitakacho.

Category: Food & Drinks (Mapishi na Vinywaji)
Download Links: Google Play Store
Developer: Bongo Inc

3. Hadithi
Hadithi ni app kwa ajili ya kusoma na kusikilza hadithi mbalimbali kutoka kwa waandishi nguli wa Tanzania.

Category: Books & References (Vitabu)
Download Links: Google Play Store
Developer: developict

Haya, karibuni kuongeza zingine mnazozifahamu na mjua umuhimu wake kwa mtanzania. Pia mnakarabishwa kutoa marekebesho na nyingoza za apps za kwenye list.
Ongeza hizi.

Chekaapp
Inakupa vichekesho vya kila siku kwa njia ya post za kawaida, picha pamoja na videos.
Link cheka – Applications Android sur Google Play

Nipime app
A simple but powerful app which enable student to do real time quizzes on Mathematics, physics, Biology, Chemistry and other subjects plus NECTA questions. Quizzes are automatically marked by the app.
Also students can search for definitions, laws, compounds and other keywords.

It enable student to learn anywhere at anytime.

Link: Nipime – Applications Android sur Google Play
 
T3RN3K

Member
May 30, 2011
92
125
Haya, apps nne mpya zilizopendekezwa, zimeongezwa tayari! Please share this list with others ili wajue vitu gani vizuri vipo Tanzania na pia waweze kuijaza hii list. Nimeipenda sana hiyo Nipime App
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom