Funniest name for a human you've ever heard

Funniest name for a human you've ever heard

eri beki wa timu ya wanawake wa japan anaitwa kumagai
 
Tulikuwa na clss mate wetu aitwaye,
Ngumbavu Mfi.r.a.kwao Nachinguru,:lol:
from Masasi.
Haya majina sijui hata hufikiria nini mpaka kuwapa watoto wao.
 
Nilisoma na bwana mdogo mmoja anaitwa THEMANINI NOTI
 
Jirani yangu Magomeni mikumi , Mzee wa Kimakonde (mmaraba) anaitwa Mz. Angalia Sekunde .
 
Mzee wa kimakonde anaitwa lit.ako mashono na nkwabi ngw'anakilala
 
Maeneo ya Tandika kuna mzee anaitwa mkun**kuwaka..

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Na hawa jamaa zetu wa Moshi wanaojiita MBOYA ili kukubalika mjini si mnajua wanaitwa MB*ORO?
 
hahahaaaaa, i know..
hl mefupisha tu, inapaswa kuwa Nambombe...........[QUOTE=King'asti;4410547]Yours is kinda funny too, unajua?
What does it stand for?[/QUOTE]
 
ukiwa bagamoyo kuna mzee mmoja maarufu ni tour guide anaitwa Samahani Kejeli
 
Kuna Proffessor wetu mmoja chuoni alikuwa anaitwa Horniechick

Ila kwa hapa bongo naona Filikunjombe jina la ajabu sana!
 
...Mwalim mkuu maule. Ukiita majina yote matatu huwa haitiki, atakuuliza uko wapi? hata kama anakuona.
 
Back
Top Bottom