Funniest name for a human you've ever heard

Funniest name for a human you've ever heard

James mba hapo bold ndo huniachaga hoi! Mwingine ni mh. M. mkulo kwa wanaotoka lindi wanajua jinsi gani lilivyo na tabu kutamka mbele ya mkweo!
 
Kuna jamaa tulikua tunasoma nae sekondari enzi hizo anaitwa Ali Kashanto Mbaga, sasa mwalimu wa darasa alikua ni wa kike gues alipokua anaita majina alikua analiitaje.
 
Nilipo kuwa nikisoma Mbezi high sch. Tulikuwa mwanadada anayeitwa manugwa magaka, she waz so sweet as her name.
 
Back
Top Bottom