Funguo ndogo! Kufuli .......

Judgement

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Posts
10,326
Reaction score
4,789
Kufuli kubwa!.
Obviously hua sishangazwi , nikutanapo/nionapo Funguo ndogo inafungua Kufuli/Kitasa kubwa/kikubwa!

Nashangazwa kama si kubutwaika pale nikutanapo/nionapo Kufuli ndogo inafunguliwa na Funguo kubwa!

Katika shangazo hili kuna ambae nae ananisaidia kushangaa?
Ama hamshangazwi?
 
Funguo dogo yafungua kufuli kubwa yalaaa ...,jamani mkwe mbona wanitatanisha mie.
 
Funguo.....? Kufuli.......?? Mmmh!!!!!! Ila tobo la kufuri si nidogo lahitaji funguo ya size yake!???
 
Yalaa ya nini tena Mamndenyi unanyekenya?
Hebu ntilie neno mie!

Nakutilia hili ati tundu hilo ni kama kapu labeba mapochopocho kibao lafunguliwa hata na kakufuli saizi ya mwisho ati.
 
Last edited by a moderator:
Nakutilia hili ati tundu hilo ni kama kapu labeba mapochopocho kibao lafunguliwa hata na kakufuli saizi ya mwisho ati.

Kama ni safari ya Dar/Dom , atlist wewe unachezea Kibaigwa !
 
Mmmmh....ndyo hualisia huo,,tutabaki kushaanga funguo ndogo kufungua kofuli kubwa n tutaendelea kuzalisha ivo ivo funguo vs kofuli..!!!
 
Mmmmh....ndyo hualisia huo,,tutabaki kushaanga funguo ndogo kufungua kofuli kubwa n tutaendelea kuzalisha ivo ivo funguo vs kofuli..!!!

Uko sambamba na maudhui ya mtoamada!
 
Ni kweli kuna kufuli kubwa lakini kifunguo kidogo kinafungua..
 
ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi Judgement
kufuli laweza kuwa kubwa ila mtengenezaji akawa amelenga ufunguo uwe mdogo
so kuweka ufunguo mkubwa ni uonevu and vise vesa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…