Wickama
Platinum Member
- Mar 8, 2009
- 1,577
- 1,362
clarinto, mimi nimelelewa na mzazi mmoja pia. nashukuru kuwa sijajaliwa hasira za kuchukia halaiki ya watu kwa vile wana viungo aina fulani juu ya magoti. Ukweli ni kuwa chuki isiyo mwisho huwa inaishia kwenye maradhi sugu. Hatima yake utakuja jua kuwa wala hukuipatia chuki yako jawabu stahiki. Ukitaka amani ya kweli kwenye roho yako bila kujali madhila ya chanzo chako wala mapito yako, Master key ni moja tuuu. Kuwa Karibu na Aliyekuumba. Mengine hujinyoosha yenyewe.Hakuna kitu kinachoumiza kama kulelewa na mzazi mmoja haswa unapojua historia ya wazaz wako,,, ila imenipa kujiamin kama mwanamke bt simwamin mwanaume awe yeyote hata niweinlove kiac gan na cjui kama atakea mwanaume wakunifanya niwahamin!!
Last edited by a moderator: