Hahahaaaa... trust me mkwe, najua ninachokiongea.... ivi kumbe upo mkwe?
Fikra za mwalimu Nyerere hizo .capitalist don't work that way .Life Lazima u risk wewe kaa na elimu yakoHata mimi naamini katika hilo kwamba elimu ni ufunguo wa maisha,ukiwa na elimu una silaha muhimu ya kupigania maisha.Hata kama hutopata ajira una knowledge ya kufanya mambo ya msingi Hongera kwa mafanikio yako rafiki!
OLESAIDIMU hili la kuwa makini na sosho kepito niko nalo makin maana na mifano ya watu walioumizwa na watu waliwaamini,aidha kwa kukutana au kukutanishwa,wengine huwa hawana nia ya dhati kabisaaa,ni maknjanja,asante mdau
Wewe hizo ni fikra za umaskini.Na wewe nufaika kwa jasho la mtu mwingine .jasho litakuzika ,kukulipia dawa .u free mason tu .Let money chase youKheri yao wanaonufaika kupitia kwa migongo ya wengine lakini mimi nanufaika kupitia kwenye jasho langu na nafurahia matunda ya juhudi zangu....kumbuka hata hao walorithi kuna mtu amehenyeka kupata mali hizo...i have dignity in my life...coz i know i deserve every outcome of my hard work than waiting for someone to serve me a plate of candy! I am proud of my self and the person i am today!
Kheri yao wanaonufaika kupitia kwa migongo ya wengine lakini mimi nanufaika kupitia kwenye jasho langu na nafurahia matunda ya juhudi zangu....kumbuka hata hao walorithi kuna mtu amehenyeka kupata mali hizo...i have dignity in my life...coz i know i deserve every outcome of my hard work than waiting for someone to serve me a plate of candy! I am proud of my self and the person i am today!
Fikra za mwalimu Nyerere hizo .capitalist don't work that way .Life Lazima u risk wewe kaa na elimu yako
Ukifa kuna dignity?no more life after death Haya.Take risk ,think like a capitalist .kama ni Mwanaume marry a rich woman
This is absurd! OLDSCHOOL AT ITS HIGHEST!
Elimu yangu itapeleka mkono kinywani mwangu popote nitakapoenda na nakuhakikishia popote!pole yako ww unaesubiri matunda yakudondokee kutoka mtini baadala ya kuyafata uyatungue ndo matokeo yake unapata matunda yalooza na yenye wadudu!Fikra za mwalimu Nyerere hizo .capitalist don't work that way .Life Lazima u risk wewe kaa na elimu yako
Money is power .mwanaume pesa Mie Mwanaume Kama hajui tafuta pesa sorry .i love money so much cause I love shopping and drinking grey goose and cranberry every night .mwanamke high maintenance
Cash ni muhimu bank kuliko majumba.ukiumwa uweze jilipia sio Mtu unachangiwa kwenda india na wakati unakaa Kwenye nyumba ya billion
Akufaaye kwa dhiki ndio rafiki!!Sio kila rafiki ni rafiki wa kweli
Wewe ushasikia trust fund babies .kuna watu hawana haja ya kwenda shule wala Kufanya Kazi cause wame inherit a lot of money .paris Hilton kwa mwezi anakusanya 50,000 dollar check Yaani hiyo from inheritance na hapo Mara DJ Mara a nalipa ku attend party .wewe chezea dunia
Money is power .mwanaume pesa Mie Mwanaume Kama hajui tafuta pesa sorry .i love money so much cause I love shopping and drinking grey goose and cranberry every night .mwanamke high maintenance
Fikra za mwalimu Nyerere hizo .capitalist don't work that way .Life Lazima u risk wewe kaa na elimu yako
Wewe hizo ni fikra za umaskini.Na wewe nufaika kwa jasho la mtu mwingine .jasho litakuzika ,kukulipia dawa .u free mason tu .Let money chase you
Marry a wealth man .Zaa nae ,fungua trust funds,file for divorce and file child support and claim the big house .ship money to tanzania buy and rent houses .