20863777799912.
Ingiza vocha hyo. Voda 1. Fanya fasta kabla hawajaiwahi
Shemeji Ruta wangapi na Chimb
Mi namiliki tunguri 7, vibuyu 15, hirizi themanini, nyungo 10. Pia nina uwezo wa kwenda nchi yoyote kwa muda mfupi kwa kutumia njia za asili.. Napaa. Mengine siri yangu.
Rutta wa 2, Chimbv wa 5.
Shemeji hao wote unakaa nao rumu 1.
Hahahaha! Watakuwa wanahitaji mengine ya kuongezea, si unajua 2015 haiko mbali?...hahahahaha..kule yako kibao...tena wako karibu na Bahari...
Lete zilizotulia, hizo za kupumua zitanisumbua kwenye pochi!Nikuletee zinazopumua au zilizotulia?
Back to topic ! Kama huna unachomiliki kaa kimya, usitujazie seva alaaah!"Mwili wangu mzuri, kila vazi linakubali. Mwili wangu wakuzaliwa, maringo kwetu kawaida! Nikigeuka, nakubali, nikicheka utazimia wasiwasi!"- Supreme Ndala Kasheba!
Ha ha ha ha! Utajiju lol.Weeeeh! We we we!? Koma ukomae!
Mi namiliki tunguri 7, vibuyu 15, hirizi themanini, nyungo 10. Pia nina uwezo wa kwenda nchi yoyote kwa muda mfupi kwa kutumia njia za asili.. Napaa. Mengine siri yangu.
Eeee Mandingo ndio mimi hata dem awe na bwawa lazima asepe na chuppi mkononi!Mijimama yote hapa ime koma mtanange wangu si muchezo!Gongeo langu liki gonga majirani hawalali!Oooh thankx Jah kwa kunipa hiki kijiji!!!!
Kwa idai ya madem ninao miliki King Mswati hanipati.....