KAMANDA MKUBWA
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 288
- 78
Nimeona miamba, ila hiyo ya pili kuna wanyama
Nimeibia kwa Mlcolm5, nimemwonaFungua macho zaidi kuna chui sehemu!
daah aisee noma sana.....ni.kwavp hapo umefanikiwa kuona
Sijamuona chura au amesharuka ?
Sio chura mwenzangu wee, Ni chui