Fungua hapa: PADRI NA JOGOO.

hamic mussa

JF-Expert Member
May 1, 2012
227
19
kuna padri mmoja alikuwa anafuga kuku siku moja akapoteza jogoo wake. Akaingia kanisani kutangaza
PADRI:jamani nani ana jogoo?
Basi wanaume wote wakasimama
PADRI:duh!sijamaanisha hivyo jamani. Yaani nani kaona jogoo.
Bac wanawake wote wakasimama
PADRI:duh! Naona bado hamjanielewa jamani simaanishi jogoo huyo. Yaani nani kawahi kumuona jogoo wangu hapa kanisani?
Basi masista wote wakasimama.
PADRI:Mweh!
 
Kumbe jogoo wake alikua maarufu hadi masista wote wanamjua.aise padri c mchezo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom