Hapo kwenye nyekundu umeua mazima...Mchicha wa obey gharama zake ni kubwa kwasababu wanalima kwa trekta,palizi kwa trekta na wanamwagilia kwa maji ya uhai so sishangai kuuzwa buku tena soon itakuwa buku tano wachemi siye tuendelee kula mchicha wa bonde la msimbazi full virutubisho vyote muhimi kupitia kinyesi cha binadamu!
Mchicha wa obey gharama zake ni kubwa kwasababu wanalima kwa trekta,palizi kwa trekta na wanamwagilia kwa maji ya uhai so sishangai kuuzwa buku tena soon itakuwa buku tano wachemi siye tuendelee kula mchicha wa bonde la msimbazi full virutubisho vyote muhimi kupitia kinyesi cha binadamu!
Sasa sio kila mtu ana nafasi ya kuwa na tuta la mboga nyumbani kwake kaka.kumbe O'bay. Uswahilini kwangu nina tuta la mchicha, majani ya kunde, majani ya maboga na mgagani, mwendao wa kubadili mboga tu!
Ndio.
Hiyo ndio hali halisi, hii ndio bei mpya ya mchicha kutoka viunga vya pale O'bay, adjacent na kota za polisi Oysterbay. Fungu hilo lilikuwa likiuzwa ShT. 500/= katika kipindi cha mwezi mmoja uliopita, hivyo bei mpya ni sawa na ongezeko la 100%, pamoja na kwamba pale ndio sehemu ya kwanza ya uzalishaji, yaani hakuna gharama za kusafirisha wala faida ya mchuuzi wa rejareja.
Tafakari,
CHUKUA HATUA!
Well done kwa serikali legelege ilobaki sasa wajiandae kutengeneza noti ya elfu20 na elfu50 na hata laki ikiendelea kuwa mbaya
Anzisha Bustan ya nyumbani. Mchicha wa kuchuma badala ya kungoa.Ndio.
Hiyo ndio hali halisi, hii ndio bei mpya ya mchicha kutoka viunga vya pale O'bay, adjacent na kota za polisi Oysterbay. Fungu hilo lilikuwa likiuzwa ShT. 500/= katika kipindi cha mwezi mmoja uliopita, hivyo bei mpya ni sawa na ongezeko la 100%, pamoja na kwamba pale ndio sehemu ya kwanza ya uzalishaji, yaani hakuna gharama za kusafirisha wala faida ya mchuuzi wa rejareja.
Tafakari,
CHUKUA HATUA!
pigia elfi 6000/- itawatoka mkuuKwahiyo hapo mtu mwenye familia ya baba,mama na watoto wawili jumlisha na dada wa kazi siku akiamua kupika wali na mchicha tu pesa itakayowatoka sio chini ya 4000 (vitunguu+mafuta+ moto+ chumvi na maji) kwa mlo mmoja. Kweli maisha magumu.
Hapo inatafutwa kulaumiwa serikali as if inalima mchicha au kuna chombo cha kufatilia bei ya mchicha hicho aio kitu cha kuanzishia hata uzi humu ni ni kitu cha kupanda haga nyuma ya nyumba yako na uka solve tatizo..! Punguzen kulalamika