alhadulillahi mwezi mtukufu wa ramadhani umeonekana nchini yemeni.
Insha allah kesho ramadhani 1
Muislam ukishapata taarifa ya kuandama kwa mwez hata km ni asubuhi anza mfungo inshaallah mungu atukubalie swaum zetu.
Mungu akuongezee iman insh...Mimi nangoja uonekane Tanzania au zikamilike siku 30 za Shaaban.
Nshapiga bajia zangu za kunde saa hizi na chatni la nazi na chai la viungo 8.
mwezi umeonekana UKEREWE_mwanza
~sasa kiti moto na beer ni muda wao kwenda mapumziko
alhamdulillahi mwezi mtukufu wa ramadhani umeonekana nchini yemeni.
Insha allah kesho ramadhani 1
Mwezi wa yemen unatuhusu vp sisi?
basi angalia tv ya yemen kwa kujua nyakati za swala za nchi yako. Afalaa tatafakkarun?