Kisa cha kuondoka bila kuniaga una maanisha nini? Nimepewa habari kuwa kuna kajamaa kakutorosha
Treat ya kwanza tu akuchekie oil kweli ataacha kutoroshwa
Kuna haja ya kuanzisha bedroom party kwa wanaume
Kuna watu wanarubuni wake zetu kwa kutumia vizizi hasa Vin Diesel
Kuna watu wanarubuni wake zetu kwa kutumia vizizi hasa Vin Diesel
Ngoja aje athibitishe hapa Vin Diesel kuja kipande hii utoe ufafanuzi
Heee si mjamwepesi wewe unambemenda kijacho.
nitonye unaniangusha sasa..! Ina maana Vin Diesel anakushinda ujanja..?Kuna watu wanarubuni wake zetu kwa kutumia vizizi hasa Vin Diesel
Ngoja aje athibitishe hapa Vin Diesel kuja kipande hii utoe ufafanuzi
Yaani shansarie mie mwenyewe ninashangaa lol..
Nani kasema nabemenda!!!?? Anamtengeneza doto vidole!!
Halafu ujue kabisa kuna hackers!!!!
Na rich mavoko mbona nimemkuta home kwako na milk shake kakuletea. Unajua nguvu ya milk shake wewe shauri yako utaaribu ndoa sasa hivi
Wewe mwanamke unataka niku-ufoo nsaro eeh..?
Ahaaa! Kumbe anataka aniharibie ee
Nilikuwa nakutafuta sana wewe
Naona walikuwa wanaomba ushauri nini kifanyikeView attachment 137662
Katika kupitia pichapicha za harusi ya sosoliso na Paloma nikakutana na hii picha hapo ilikuwa ni siku ya kwanza ya fungate.
Waweza pata picha hii ndoa iko na hali gani sasa.
Cc Baba V Arushaone inabidi hii ndoa ifanyiwe ukaguzi upya
Hahahahaha unajifanya hujui...anakutengenezea ikae vuzurAhaaa! Kumbe anataka aniharibie ee
Umejuaje kama mke wa mwenzio mtamu?We mbona mkeo mtamu sana?
Umempatia wapi?