Fungate la sosoliso

Fungate la sosoliso

Unataka kuja kuujaribu mshindo shansarie..?



Tukaguliwe nini ati Baba V..? Kifanyio ninacho na mke wangu Paloma kifanywa anacho..



Mhh Arabela hii ndo yako na nitonye ni noni stata lol.. nitonye alitumia nguvu nyingi sana kukupata kiasi ulivyosema yesi tu nguvu zote zikawa zimemuisha na aliporudi kwa yule mganga ili kupata dawa ya kuongeza nguvu akapishana na wanakijiji wakiwa wamebeba jeneza lenye maiti ya yule mganga.. nitonye kapagawa mpaka leo..

Tatizo ndoa ya nitonye na Arabela ilianza hivi sasa unafikiri mwisho wake utakuaje
1391760459039.jpg
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom