Fungate la sosoliso

Fungate la sosoliso

Huu ndo mwezi wa tisa unaingia na wewe lol.. Hebu tuacheni tupumue jamani..

cc kwa mke wangu nimpendae kuliko vyote duniani Paloma a.k.a mama vjacho a.k.a mama wawili..

afu usiniite mama wawili bana bebi............afu unajua hatujatafuta majina ya wanetu!?!?!
 
Babe sososliso si umwambie ukweli shemeji Mokoyo!?!? Afu tunakaribia kutimiza anivesari moja! Heheheee mandolin nishichoka ujue bebi..........kuingiza gia na hili tumbo miguu inapata ganzi! Sawa beib eenh!?
shemeji Paloma wacha kabisa, mwambie bro sosoliso awe anatumia free gear ili hasilete madhara, hahaahahaha
 
afu usiniite mama wawili bana bebi............afu unajua hatujatafuta majina ya wanetu!?!?!

Mhh hunie wewe tafuta la mmoja na mie ninatafuta jingine.. Ila sitaki majina ya uswazi hapa.. Ati mtoto aitwe mkegani.. au sikudhani.. au mkumbege.. au hapendeki..
 
Shkamoo shemeji Mokoyo. Mbona sikukuona harusini jamani....basi karibu hata nyumbani japo uone picha zaidi! Tutakuchinjia bata mzinga! Karibu sana shemegi!

Mama Vijavyo!

shemeji ndio najipanga kuja kuwasalimia, nikitoka huku Nanjilinji break ya kwanza ni kweli shem Paloma, usisahau kuniandalia maziwa mtindi
 
Mhh hunie wewe tafuta la mmoja na mie ninatafuta jingine.. Ila sitaki majina ya uswazi hapa.. Ati mtoto aitwe mkegani.. au sikudhani.. au mkumbege.. au hapendeki..

heeeee makubwa!
 
sina la zaidi shem Paloma, ila msalimie sana bro sosoliso naamini ile tabia yake ya kurudi kesho ameiacha toka amekuoa, si ndio shem?

jamaaani sheeeem..................hivi kumbe babe sosoliso ndio alikuwa na tabia hiii?!?!?!?!
heeeeeeeee mhhlakin ni ujana tu huo, now atatoka aende wapi?!? nimetaiti engo zote shem!!!
 
Last edited by a moderator:
jamaaani sheeeem..................hivi kumbe babe sosoliso ndio alikuwa na tabia hiii?!?!?!?!
heeeeeeeee mhhlakin ni ujana tu huo, now atatoka aende wapi?!? nimetaiti engo zote shem!!!

tight-coupling yako naikubali shem, hana pa kwenda, kurudi home mwisho saa moja usiku otherwise alale huko huko alikochelewa
 
jamaaani sheeeem..................hivi kumbe babe sosoliso ndio alikuwa na tabia hiii?!?!?!?!
heeeeeeeee mhhlakin ni ujana tu huo, now atatoka aende wapi?!? nimetaiti engo zote shem!!!

Beib naomba ruhusa niende kumsalamia mama nyumbani..
 
Last edited by a moderator:
Kisa cha kuondoka bila kuniaga una maanisha nini? Nimepewa habari kuwa kuna kajamaa kamekutorosha

Nimeondoka niko kwetu baada ya kuniacha peke yangu na kunipa kazi ya ulinzi wa nyumba yako nani ataka hayo?
 
Nimeondoka niko kwetu baada ya kuniacha peke yangu na kunipa kazi ya ulinzi wa nyumba yako nani ataka hayo?

My wii ni kweli kabisa kaka yako amenitenda

Pole sana Arabela.. Mie niliyajua yote haya maana nitonye alitumia nguvu nyingi sana (mpaka kwa babu lol).. Ila sana kukumeinteini ndo imekuwa shughuli sasa.. Nasikia alikuwa anakufungia usitoke na sokoni alikuwa anaenda mwenyewe..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom