Tetesi: Funga ya Ramadhani inaanza Jumatatu ama Jumanne

Hajto

JF-Expert Member
Sep 30, 2013
5,592
5,481
Habari zenu jamani Mabibi na Mabwana,nilikuwa napenda kuuliza kwa mwenye kujua eti sie waislamu funga yetu ya Ramadhani inaanza Kesho Jumatatu ama Keshokutwa Jumanne,Jaziba wekeni pembeni busara itumike katika kuelimishana.
 
subiri mwezi ounekane
 
subiri mwezi ounekane
Sasa hawa waliokuwa wanaungalia jana Jumamosi mwezi na hawakuuona,wakadai wanakamilisha 30,ila Jumatatu ndio mfungo unaanza hawa tuwaweke katika kundi gani
 
Arabian countries umeonekana jana wameanza leo,sisi tunaanza kesho,hakuna mjadala.
Usibabaishwe,simama imara
pitia kwenye mitandao utajua kila kitu,sio ig tu na fb.
 
Taarifa kwa waislam. (Ofisi ya mufti wa tanzania) kamati ya kitaifa ya masuala ya mwezi inawajulisha waislamu wote kuwa Leo tarehe 5/5/19 kuonekana kwa mwezi hakujathibiti mbele ya mh mufti wa tanzania shk abubakar zuber mbwana.wala mbele ya kadhi mkuu tanzania bara shk abdallah mnyasi.wala hakujathibiti mbele ya mufti wa zanzibar shk swaleh kaab.wala mbele ya kadhi wa znz shk haji khamis. Wala hata jirani zetu kwa kauli ya kadhi wa kenya.hivyo mnatangaziwa rasmi kuwa huu ni usiku wa wa mwezi 30 shaaban. Kesh tunatimiza shaaban 30.hivyo basi ramadhan tutaanza rasmi siku ya jumanne 7/5/2019.ofisi ya mufti ya wa tanzania na mufti wa zanzibar.inawatakia waislam wote ramadhan mubaarak. (Shk alhad mussa salum)katibu wa kamati ya kitaifa ya mwezi muandamo na shk wa mkoa wa dsm)والسلام عليكم ورحمة الله وبركاته
 
Habari zenu jamani Mabibi na Mabwana,nilikuwa napenda kuuliza kwa mwenye kujua eti sie waislamu funga yetu ya Ramadhani inaanza Kesho Jumatatu ama Keshokutwa Jumanne,Jaziba wekeni pembeni busara itumike katika kuelimishana.
Leo ni 30 sha'aban. Ramadhan imeingia jioni hii
 
Taarifa kwa waislam. (Ofisi ya mufti wa tanzania) kamati ya kitaifa ya masuala ya mwezi inawajulisha waislamu wote kuwa Leo tarehe 5/5/19 kuonekana kwa mwezi hakujathibiti mbele ya mh mufti wa tanzania shk abubakar zuber mbwana.wala mbele ya kadhi mkuu tanzania bara shk abdallah mnyasi.wala hakujathibiti mbele ya mufti wa zanzibar shk swaleh kaab.wala mbele ya kadhi wa znz shk haji khamis. Wala hata jirani zetu kwa kauli ya kadhi wa kenya.hivyo mnatangaziwa rasmi kuwa huu ni usiku wa wa mwezi 30 shaaban. Kesh tunatimiza shaaban 30.hivyo basi ramadhan tutaanza rasmi siku ya jumanne 7/5/2019.ofisi ya mufti ya wa tanzania na mufti wa zanzibar.inawatakia waislam wote ramadhan mubaarak. (Shk alhad mussa salum)katibu wa kamati ya kitaifa ya mwezi muandamo na shk wa mkoa wa dsm)والسلام عليكم ورحمة الله وبركاته
Funga ni Jumatatu mzee baba sio Jumanne,
 
★★★😇😇😇hata c elewi.bt leo ntafakamia daku la kutosha 4 emergence.🏃🏃🏃🏃
 
Back
Top Bottom