Funga mwaka...! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Funga mwaka...!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Fundifundisho, Dec 16, 2011.

 1. F

  Fundifundisho Member

  #1
  Dec 16, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 79
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mwaka ndo huo unaisha,
  je umejiuliza mapenzi yamekufanyia nini?
  1.umetumia sh ngapi ukiwa baa na mademu ?
  2.umetumia sh ngapi kulipia gesti kila upatapo demu,
  3.umetumia sh ngapi kununua vocha ili kuwapigia simu madem na wakti mwingine kumtumia demu vocha,
  4.umetumia sh ngapi kutolea mimba kwa wasichana usiotaka kuzaa nao,
  5.umetumia sh ngapi nauli za daladala kumfuata demu au demu akija kwako,
  6.umetumia sh ngapi kuwanunulia vijizawadi mademu pamoja na kuwahonga,
  7.Angalia viwalo vyako ni vikuu kuu, kula kwako kwa taabu na kodi unalipa kwa mbinde!
  Naongea na wewe kijana jipange upya next year usirudie makosa...,
  heri ya X mass na mwaka mpya wana Jf.
   
 2. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #2
  Dec 16, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,669
  Trophy Points: 280
  Hakuna hata moja linalonihusu hapo,mbona hujawauliza wadada waliofanya hayo?
   
 3. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #3
  Dec 16, 2011
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,659
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Hatariiiiiiii...maana kuna wengine wana madeni saa hizi utakuta vyote hivyo kavifanya na gharama kibao,kaweka kitanda chake bondi na analala chini...balaaa!!
   
 4. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #4
  Dec 16, 2011
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Yaani sexism ilio tawala humu JF ni kwamba members ni wanaume, wanawake ni exception. haya bwana...
   
 5. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #5
  Dec 16, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Hiyo ya ku spend fedha kwenye baa/ clubs tuyaache tu..
  Kuhusu mapenzi sijahangaika nayo kabisa mwaka huu 2011.
  maybe, just maybe 2012. Nimefurahia sana maisha ya kuwa nilivyo.. :poa
   
 6. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #6
  Dec 16, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,027
  Likes Received: 3,220
  Trophy Points: 280
  Kwa maana hiyo wanawake hawastahili kufanya kazi iwapo hayo yoote yanatekelezwaga.
   
 7. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #7
  Dec 16, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Sijutii lolote lililonipata mwaka huu kuhusiana na mapenzi kwa sababu yote niliyafanya kwa kujua faida na hasara zake kabla ya kuamua kufanya.
   
 8. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #8
  Dec 16, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  tumia pesa ikuzoee, jiulize kama umetumia kisawasawa si unajua hasara roho pesa makaratasi
   
 9. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #9
  Dec 16, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Sisi wachungaji haya ni mageni kwetu....
   
 10. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #10
  Dec 16, 2011
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,867
  Trophy Points: 280
  Kwa ukweli kabisa na upole kwa mwaka 2011 matumizi yangu ni kama ifuatavyo:

  1.dagaa sh 60000
  2.maharage sh.40000
  3.nyama sh 5000
  4.sembe sh 45000
  5.mchele sh 3000
  6.mchicha sh 55000
  7.soda sh 0
  8.juice sh 0
  9.pombe sh.500,000
  10.matunda sh.0 kwa sababu sijawahi kuugua
  11. Ngono sh.700000
  12. Maji sh. 0 kwasababu huku kwetu tunatumia ya mtoni

  Nawasilisha.
   
 11. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #11
  Dec 16, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Hii ni bajeti ya mwaka au mwezi?
   
 12. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #12
  Dec 16, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Sasa mnatufundishaje waumini ikiwa haya ni mageni kwenu?
   
 13. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #13
  Dec 16, 2011
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,659
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Utakuwa na damu nyingi wewe...loh! mchicha wa 55,000???!! ulikuwa unautupia na kwenye breakfast nini??!! Halafu matunda 0 mmh...ukosefu wa vitamin C utakuwa unakuhusu...
   
 14. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #14
  Dec 16, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Haya bwana, sie tulio selfcontained hayatuhusu
   
 15. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #15
  Dec 16, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Waumini wangu mimi huwa hawaendi kwenye haya mambo tunaishi sehemu moja wote
   
 16. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #16
  Dec 16, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Huyu hazungumzii wanawake, anawazungumzia 'madem'... Kuna tofauti kubwa sana kati ya 'mwanamke' na 'dem'
   
 17. Captain Phillip

  Captain Phillip JF-Expert Member

  #17
  Dec 16, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 900
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Duh yaani maneno haya kama vile unanifahamu au ndo wewe unayekujaga pale kwemye pub ya mtaani kwentu nakuona bize na ki-simu chako cha mchina nini!!!Manake umesema mule mule ninaponataga na biti...
   
 18. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #18
  Dec 16, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  1.umetumia sh ngapi ukiwa baa na mademu ? 562,500/=
  2.umetumia sh ngapi kulipia gesti kila upatapo demu, 820,000/=
  3.umetumia sh ngapi kununua vocha nimekuwa niki text sana 4,000/=
  4.umetumia sh ngapi kutolea mimba kwa wasichana usiotaka kuzaa nao, 0/=
  5.umetumia sh ngapi nauli za daladala kumfuata demu au demu akija kwako, hela ya mafuta 1,200,000/=
  6.umetumia sh ngapi kuwanunulia vijizawadi mademu pamoja na kuwahonga, 800,000/=
  7.Angalia viwalo vyako ni vikuu kuu, kula kwako kwa taabu na kodi unalipa kwa mbinde! nimejenga
  MWAKA UJAO ITABIDI NIOE TARHE 30 NAENDA KUPIMA NGOMA
   
 19. Uliza_Bei

  Uliza_Bei JF-Expert Member

  #19
  Dec 16, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 3,109
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Haya siyo makosa bali ni matumizi ya kawaida.....other charges hata serikalini zipo na zinalo fungu la kutosha
   
 20. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #20
  Dec 16, 2011
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Mkuu samahani nilikua najaribu kutamka jina lako na huku nilikua nimekula kisheti kiko mdomoni si kimedondoka! Umentiaje hasara!
   
Loading...