matumbo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 7,224
- 3,958
Kwa ukweli kabisa na upole kwa mwaka 2011 matumizi yangu ni kama ifuatavyo:
1.dagaa sh 60000
2.maharage sh.40000
3.nyama sh 5000
4.sembe sh 45000
5.mchele sh 3000
6.mchicha sh 55000
7.soda sh 0
8.juice sh 0
9.pombe sh.500,000
10.matunda sh.0 kwa sababu sijawahi kuugua
11. Ngono sh.700000
12. Maji sh. 0 kwasababu huku kwetu tunatumia ya mtoni
Nawasilisha.
Bajeti yako nimeipenda..ila hao dagaa lazima umeshakuwa na ngozi ya chuma.