Mr Penal Code
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 823
- 216
Habari zenu wana jamvi Naomba Msaada wenu Npo hapa Morogoro mjini laptop yangu inazingua Kiooo hakitoi mwanga na kinatoa Mistari Mistari mara tuu Ninapoiwasha japo inawaka fresh. JE wapi naweza pata fundi wa ukweli hapa morogoro Mjini anayeweza Kunisaidia. Asanteni.