Fundi Ujenzi anahitajika

Fundi Ujenzi anahitajika

Hahahaha mkuu sio kwa ajili ya ukoo.
Dharura tu si unajua binadamu mkuu.

ingekuwa wewe ni size ipi inatosha.
4.5m × 4m inatosha, coz kutakua na dinning inayojitegemea pembeni ya sittingroom
 
Familia ya watu wachache? Wajukuu wakifika unawapelekea msosi jikoni na wageni je? Au mtakuwa mnakula kwa season mnaachiana dinning.

Dinning ya kubeba watu 12 safi kabisa na kengine ka baba na mama hahaha.
4.5m × 4m inatosha, coz kutakua na dinning inayojitegemea pembeni ya sittingroom
 
Fundi wa ujenzi ndio huyo huyo atayekafanya wiringi hiyo kazi ukikimbiza hiyo haitatoka kazi nzuri fundi mpe uhuru kiasi flani!!
 
Back
Top Bottom